Arsenal wamemuuaGadafi?

kiparah

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2010
Posts
1,173
Reaction score
117
Hii nimeikuta sehemu: Aaron Ramsey....alifunga bao dhidi ya Man United Mei 1, 2011 siku iliyofuata Osama Bin Laden akauwawa na Wamarekani...Ramsey juzi amefunga bao dhidi ya Marseille, siku iliyofuata Gaddafi ameuwawa.....magoli ya huyu dogo yana nuksi..au ana damu ya Marekani huyu???​
 
Mkuu kama ni hivyo basi baada ya bao hilo dhidi ya Man U Osama atakuwa aliuawa mwaka mmoja baadae. Osama aliuawa 2011
 

Tuambie,wewe toka lini umerithi mikoba ya Sheikh Yahya?
 
]Mkuu kama ni hivyo basi baada ya bao hilo dhidi ya Man U Osama atakuwa aliuawa mwaka mmoja baadae. Osama aliuawa 2011[/B]

Hii nimeikuta sehemu: Aaron Ramsey....alifunga bao dhidi ya Man United Mei 1, 2011 siku iliyofuata Osama Bin Laden akauwawa na Wamarekani...Ramsey juzi amefunga bao dhidi ya Marseille, siku iliyofuata Gaddafi ameuwawa.....magoli ya huyu dogo yana nuksi..au ana damu ya Marekani huyu???​​
 
Ukiona hivyo basi ujue OSAMA na Ghaddafi yote dugu moja.
 

akifunga jingine wewe unafuata kufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…