dickson longo
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 230
- 49
Pamoja sana.
Hawa marefa sijui wametumwa kuiharibia timu yetu........maamuzi ya ajabu haya.Mike Dean ni Refa wa ajabu sana jamani
Safi sana kipa
Anashinda Arsenal wewe...!!
Psychologically tumeshafungwa hapa.....!Chamberlain nje, Mertesacker ndani
Mike Dean...........
Huyu jamaa wa hovyo kweli...........
Kaharibu huu mchezo eti...........
Penati
Dzeko anapiga
Kakosa
Labda kama wamekula kikombe cha samunge
ha ha ha aaah!! Mkuu ulikuwa wapi? Tupo pungufu tutawafunga kwa taabu sana.hayaaa sijaiona hii...