Maadui wengi ndio mafanikio, chelsea, man u, liver, man city, spurs, spmton, zooooote zinaombea arsenal ifungwe hahaha subiri ww utackia oziiiiiil
Tena iwe mwanzo na mwisho kusikia mnamtaja Ozil..!
Etihad Ozil aliwasaidia nini? Sasa na Leo namkabizi Ramires ahakikishe Huyo ambae imekua Kero mitaani Kwa kumtaja Eti Ozil.....!
Pole kaka ila arsenal inajua sna...keep it in your mind 3 - 1
Mtakimbia hapa!
Ushakula? Uckae na njaa utashindwa kula baadae
Ushakula? Uckae na njaa utashindwa kula baadae
anywe na maji kabisa, asije akazimia hospital wakanza kuangaika kumwekea maji.
Hahahha sawa mkuu
Yani hapa Mtakimbia'!
Niwambia mpaka January mtakua nafasi ya 3 Au 4 na sasa yameanza kutimia mko nafasi ya 3 Leo na nikiwapiga mnazidi kupolomoka huko nafasi ya 4