Arsenal Vs Bayern Munich. Tutabiri

haya mzee wa kuzungukazunguka kingia sijui ataleta jipya?? TR
 
mambo gani haya mpira kuchezwa nusu uwanja? wenger leo asipooga maji baridi bas atayeyuka kwa joto
kupaki Basi kuta wa-cost Arsenal; ili takiwa washambulie walau wapate gali la kufutia machozi kama si kusawazisha.
 
Roben anazomewa kila akishika Mpira ,, arsenal are over dominated ,, wanasubiri bahati tu hapa ... ,
 
haya jamani nawatakia usiku mwema.mr anagomba ngoja nikalale mtanipa matokeo
arsenal msife moyo mkienda kwao mtapata 3-0
 
haya jamani nawatakia usiku mwema.mr anagomba ngoja nikalale mtanipa matokeo
arsenal msife moyo mkienda kwao mtapata 3-0

ha ha ha ha ha wewe mbona unatukana Arsenal?
 
Haya wewe kalale utayapata matokeo asubuhi.
haya jamani nawatakia usiku mwema.mr anagomba ngoja nikalale mtanipa matokeo
arsenal msife moyo mkienda kwao mtapata 3-0
 
kupaki Basi kuta wa-cost Arsenal; ili takiwa washambulie walau wapate gali la kufutia machozi kama si kusawazisha.

Sidhani kama Arsenal anawachezaji ambao atawaruhusu wapande pamoja na kushuka pamoja. Imempasa akae langoni mwake ili asipate matokeo mabaya zaidi.
 
Bayern hawatakiwi kufanya hivi, wanamuongezea matatizo ya afya huyu mzee wa watu.
 
AC Milan 0-1A. Madrid.
Diego Costa
 
Diego costa keshafanya mambo , atl Madrid Moja Milan bila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…