diaby atoke aingie rosicky,dogo anakaa na mpira sana mpaka anapoteza.kitu kingine naona vijana wanaanguka sana inabidi wakaze misuri manake refa wanazipeta zote kwahio haisaidii kudondoka hovyo hovyo.game bado tunaweza kuibadirisha inategemea na wenger atafanya mabadiriko saa ngapi.
...kwenye tactics, inabidi Diaby acheze pale ndio maana Arsenal imetawala kiungo leo. Kwa mfumo wanaocheza Man City, Ramsey atalikoroga, hana ubavu...afadhali kidogo ya Eboue...