πSio unakaa na majonzi mpaka game ijayo bali unakaa nayo mpaka mwisho wa ligiπ
mwisho wa ligi mbali manake mara nyingi ukishinda game inayofata watu huwa wanasahau yalio pita si unajua lol.
Kwa maamuzi yaliyoonyeshwa na marefa juzi kwenye mechi ya Arsenal na Man U natabiri kifo cha ligi kuu ya England in the near future. Inabidi FA wajifunze kilichotokea Serie A ya Italia
Ila majonzi yanakuwa na faraja kama refa na wasaidizi wake wanamtoa kocha wa timu kwa sababu ya kupiga chupa teke chupa ambayo hata ilipopigwa haikuingia uwanjani kudistabu mchezo. Lakini pia machungu yanakuwa zaidi pale refa anapoogopa kutoa penalti kwa Arsenal pale Arshavini anapodondoshwa kwenye eneo la hatari kwa kuogopa jinamizi la Eduardo.ha ha ha mie huwa sipendi sana kufungwa alafu kuna kuwa na international break manake unakaa na majonzi kwa mda wote huo mpaka game ijayo.
Ila majonzi yanakuwa na faraja kama refa na wasaidizi wake wanamtoa kocha wa timu kwa sababu ya kupiga chupa teke chupa ambayo hata ilipopigwa haikuingia uwanjani kudistabu mchezo. Lakini pia machungu yanakuwa zaidi pale refa anapoogopa kutoa penalti kwa Arsenal pale Arshavini anapodondoshwa kwenye eneo la hatari kwa kuogopa jinamizi la Eduardo.
Kosa langu ni lipi mkubwa?Waafrika ndivyo tulivyo, kwa mentality hii tuna safari ndefu kwenye kufuata sheria.
Kosa langu ni lipi mkubwa?
Kusema mtazamo wangu?
Au nini hasa?
Kuwa wazi tu acha kumumunya maneno
heshima mkuu,wote sie washabiki na tunajua vizuri jinsi huu mchezo ulivyokuwa na jazba.wenger hakuwa na kosa la kupiga teke kwani ilikuwa reaction yake ya lile goli kuwa la offside sio kwamba kapinga maamuzi yaliotolewa.kilichotokea pale ni 4th official kakuza mambo na ndio maana yeye na refa wake wamemuomba msamaha wenger.swala la chupa hilo hata martin oneil anamchezo huo sana kama ushamuona kwenye mechi zake na hakufanyiw vile.ilikuwa poor judgement na wameomba msamaha swala limeisha.kuhusu chupa kama ingemuumiza mtu yeye ana akili timamu na ndio maana kaipiga alipoipiga kama angegeuka na kuipiga kwa mashabiki hapo angechukuliwa hatua.Na mimi nimetoa mtizamo wangu ndio maana nikahighlight na rangi nyekundu (kupiga teke chupa ata kama hiyo chupa ni takataka sio jambo la busara angemuumiza mtu ingekuwaje?) sasa uko kumung'unya maneno kumetoka wapi? Kosa akifanya Drogba na kuadhibiwa mnaona sawa, kafanya Wenger (ingawa makosa yako tofauti) kwa sababu mnashabikia Arsenal mnaona kaonewa ebo!
Kosa langu ni lipi mkubwa?
Kusema mtazamo wangu?
Au nini hasa?
Kuwa wazi tu acha kumumunya maneno
ha ha ha hio picha kali sana.Wakati Mbu na wenzake wanataka kututoa roho..........
Wakati Mbu na wenzake wanataka kututoa roho..........
Mwenzenu leo nimeota Adebayor kawapiga bao tatu peke yake,halafu na mie kwa kuota mambo ya ukweli!sijui itakuwaje,ngoja leo nipime uwezo wangu wakuota mambo kiukweli ukweli.Manchester City v Arsenal
Barclays Premier League
Saturday, September 12, 2009, 15:00
>>>...π >>>
Mwenzenu leo nimeota Adebayor kawapiga bao tatu peke yake,halafu na mie kwa kuota mambo ya ukweli!sijui itakuwaje,ngoja leo nipime uwezo wangu wakuota mambo kiukweli ukweli.
Niko hapa nikisubiri kuona jinsi Adebayor atakavyokuwa na usongo wa kututungua na kuendeleza upataji wake wa magoli katika kila mechi aliyoicheza hasi sasa, na sisi tukitaka kumuonyesha kwamba alifanya makosa makubwa kutukimbia. I hope referee na wasaidizi wake hawatauharibu huu mchezo.