tupo mkuu, naona mambo yanazidi kupamba moto!! hawa jamaa wamo tu! hizi link siku hizi haziaminiki unaangalia baadae wanakata maximum number of viewers, lakini hivyo hivyo unahamia nyingine!!
tricky arena, Barcelona na Ac Milan wana historia nayo. hawa jamaa mechi yao waliyoshinda ugenini ni moja ambayo imewaleta hapo, sasa wanafanya kila njia kutoharibu historia yao ya nyumbani.