Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna taarifa inasema dstv wanaanza kuonyesha mechi za EPL kwa 25K.

Channel inaitwa SS Swahili itakua namba 216 ama 223.

Sasa swali langu likawa kwahiyo ikatokea mechi nne zinacheza muda mmoja wao watakua wanaamua mechi gani ionyeshwe?

Kuna ambaye kasikia hili swala?
 
Tangia fibre na wifi ziongezeke dstv na mimi tumepunguza mazoea.

Imagine game ya juzi psg vs barcelona ilikua inarushwa kwenye kifurushi kikubwa
Huku fibre ni mwendo wa kucheza na fawanews tena ikiwa strong mzigo hd

Jibu la swali
Binafsi bado sijasikia hiyo taarifa ya dstv
 
hata game za bongo fawanews wanaonyesha, kinachofanya Azam ivumiliwe ni gharama yake inavumilika ila na wenyewe wangekua na gharama za juu na yeye angelia.

Kama ingewezekana wanaweka kifurushi spesho kwa mpira tu. UEFA, EPL, la liga, FA wengi tungekichangamkia
 
Game ya leo kuna wanigeria 3, Ayaosi, Suleiman na Moses halafu kuna jamaa anaitwa Sadilek. Hawa wasipochungwa hawashindwi kutuharibia siku.

Kwa back three wanayocheza ni vyema Tzolis akawepo na RW akawepo mwenye pace. Tupate advantage ya pace kwenye wings, tunahitaji mid itayokua inafosi kwenda mbele na mpira au kufosi mpira kwenda kwa through balls au long balls.

Akianza Gyokeres ni fair ili kuzuia defense yao kurelax ila ngoja tuone kikosi kwanza.
 
Tzolis bench. Probably ni technical decision kwa kuzingatia kuna ligi baada ya hapa.

Zubimendi ameanza. Katika mchezaji hua anafanya nijiulize kama tutamfaidi ni huyu. Alitakiwa kua Busquet hapa Arsenal but imekua ngumu kwa upande wake.

Leo apambane atuonyeshe kitu.

Gyokeres yupo mbele kule. On paper Zubimendi au Bruno ndiyo ilibidi wawe walishaji mpira wa Gyokeres, lakini timu imekua haifanyi break play, counter, long balls na through balls zimekua chache pia.

Ngoja game ianze tuone kama itatupa namba ya juu pale.
 
Yeah, dstv inabidi waangalie jinsi gani ya kucheza na soko. Ujio wa kasi wa matumizi ya internet na hiz links
 
Zubimendi ana-struggle epl kwasababu ya kimo chake kupambana na ile mijitu sio mchezo.
Sometimes ata tackles zake unaona kama hafikii mipira vizuri (kwasababu ya ufupi)

Japo kuna watu wafupi wachache walioweza kukiwasha pale pale Epl

Zubimendi inabid akaze sana ile ligi ya epl sio ya kilelemama.

 
Mpaka saivi tunavoongea majirani zetu wa epl uko nyumba zinawaka moto
Chelsea na liva ushindi kwao ni shangwe kama wamebeba kombe. Man u na tot msimu huu kazi yao ni kufatilia mechi za wenzie ila apate dosar hata kidogo za kuzipondea(tim zao washaziweka pemben),
Man city hawaelewi 115 charges zitaishia wap
 
Total dominance.

Idea ya Rice ya kutoenda mbele na kubaki kulinda imetusaidia sana kwenye long balls na counter za Slavia

We are doing fine mpaka hapa
 
Kuna changamoto moja hapa

Tulikua tuna nafasi za kuscore ila tulikua hovyo ndani ya boksi na nje ya 18.

Ni kama vile tulirelax throughout.

Gyokeres jana kacheza kama false 9 kwa muda mkubwa, nafikiri ni miongoni mwa games nzuri alizocheza.

Baada ya Slavia kupata goli moja nilidhani Arteta atasitisha kumpa namba Dowman, inabidi nikubali jamaa ana uthubutu. We were dominant ila tulikua wapole mbele ya boksi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…