Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tumepoteza point 2 za muhimu, lakini siyo issue ngoja tuangalie mechi ijayo.
 
gooners msijali its a matter of time .. nafasi ya tatu yetu, chelsick atapigania 4th na liver au spurs hii ni FACT labda table mwisho wa msimu waigeuze juu chini ndio watakuwa above gooners ... tuangalie mbele ..

Dream on mate! Ilikuwa mechi ya wachezaji 12 (pamoja refa) dhidi ya 10, lakini bado mmeshindwa kufanya lolote la maana, halafu unafikiri mnamaliza wa 3, kila mwaka tumesikia sentensi kama hizi hapa kwenye kajukwaa kenu, hahahaha!! Delusion!
 
Haya banaaa....mie nimefurahi kuona leo umepona kabisa 🙂🙂 maana jana nilikuwa nakuonea huruma ile mbaya lol! Niko hapa naangalia mchapo wa Tottenham na Norwich mechi ni kali sana na speed yake si ya kawaida na mashambulizi ya huku na kule. Itakuwa poa sana kama Norwich watashinda 🙂🙂...inaelekea unamuhusudu sana kocha wetu mpaka umemuweka katika avatar 🙂🙂
 
Nampenda kwa sababu ni clown, umeona picha yenyewe lakini anachofanya? hahahahahaha!!!!
In Whinger You Trust!!!!
 
Nampenda kwa sababu ni clown, umeona picha yenyewe lakini anachofanya? hahahahahaha!!!!
In Whinger You Trust!!!!

...haya banaa lakini ukumbuke tulikutungua nyumbani kwenu 5-3 pamoja na kuwa na huyo unaemuona ni clown lol!
 
Pole sana, naona mwaka huu Yiddo watamaliza juu yenu....shift of power in North London!
 
...haya banaa lakini ukumbuke tulikutungua nyumbani kwenu 5-3 pamoja na kuwa na huyo unaemuona ni clown lol!

Hahahaha, same clown alipigwa 8-2, mbona unasahu mapema hivyo, au ndio selective memory?!!
 
Pole sana, naona mwaka huu Yiddo watamaliza juu yenu....shift of power in North London!

...Shauri yako, naona unaanza kuweka hitimisho wakati bado kuna safari ndefu sana kati sasa na May 2012 na unajua fika kwamba lolote lile linaweza kutokea na hiyo shift of power isikamilike kama unavyodhani.
 
Hahahaha, same clown alipigwa 8-2, mbona unasahu mapema hivyo, au ndio selective memory?!!

Hahahahah lol! Nadhani wewe ndio una ugonjwa huo maana magoli yote tuliyofungwa sisi unayakumbuka vizuri sana lakini mliofungwa nyinyi hayamo kabisa katika memory yako lol! Hukumbuki kichapo cha 5-3 ndani ya jumba lenu?
 
Hahahahaaha! Haya usiku mwema, na endelea kuangalia juu! LOL.
 
Reactions: BAK
...Shauri yako, naona unaanza kuweka hitimisho wakati bado kuna safari ndefu sana kati sasa na May 2012 na unajua fika kwamba lolote lile linaweza kutokea na hiyo shift of power isikamilike kama unavyodhani.

Hahahaha, keep on looking up!
 
Reactions: BAK
Jana kulikuwa na ahadi ya kuwa juu ya the blues leo, mbona bado mpo chini kimetokea nini?
 
BAK

Usibishane na wanazi walioona matokeo JF hata soka lenyewe hawakuliona wanasubiri taarifa hapa. Nilisema tangu mara nyingi bila technology hawa wabeba bahasha watatusumbua sana hizi ni mechi tatu sasa tunachezewa handball .... ..... ..... kisa tusishinde.
 
Reactions: BAK
Egg on your faces!! hahahahahahahahahaha!!!!!!! You can't beat a 1-man Wolves side!! Mmebebwa lakini hambebeki, losers!

Wewe hukuangalia mechi wacha porojo. nani kabebwa leo? Phew!
 
Unamwongelea wacha yupi? Katafute wanazi wenzio kwanza ndio urudi hapa. Huwezi kuwa timu kubwa then unacheza on a Thursday. - Aibu!
 
Safi sana kwa kuwa muungwana....sijui kaka angu Wacha1 anana hili?

Umeona mpira au umesimuliwa? Mwaka huu mtabaki kwenye Europa ndio mna-belong maana marefa wa kule hakuna mambo ya bahasha imekula kwenu!
 
Reactions: BAK
Jana kulikuwa na ahadi ya kuwa juu ya the blues leo, mbona bado mpo chini kimetokea nini?

Si unajua fat Arses kwa DELUSION ndio wenyewe! Hao waliokuwa wanapiga kelele jana leo wameingia mtini na mayai usoni. hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…