Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kila siku huwa nasema hapa huyu defence wenu sijui mlimuokota wapi,coz mpira wake mbovu sana.....mlifanya mistake kumnunua,sijawahi ona shit defence kama huyu,
 
PER miguu mirefu lakini haitumii kabisa.... Goli lao zuri sana................. We need to step up our game.....
 
PER miguu mirefu lakini haitumii kabisa.... Goli lao zuri sana................. We need to step up our game.....

Defence inabidi awe mrefu na mwenye stamina sio bora defence....
 
Hata ku-clear mpira unatushinda. Nzogbia anajitesea sana.

Dakika ya 63. Wenger. Fanya sub ya kutafuta ushindi.
 
Tunaogopa ku-attack &ervinho wakutoa hamna kitu anachofanya lakini Wenger kama kawaida yake. Anasubiri miracle. Kutoka kwa Gervinho.
 
Ref msela sana..... there was a contact pale..... Upuuzi mtupu.......
 
Wacha1 mkuu njoo tupeane kampani bana mbona unakimbia jukwaaaa hahahah
 
safi sana.... Isingekua na maana kuangalia game Alfajiri katika baridi kali namna hii then unaambulia Draw......Huree Muisraeli.....
 
Hawa AV wameamua kucheza mchezo wa kiingereza per se! Pasi tatu wako golini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…