🤣🤣🤣 Tetea Kiwigi ni kocha wa makombe makubwa kama vile Uefa na Epl.
Kwanza hii Kalagabaho kapu na MwanaFA sio kipaumbele chetu msimu huu.
Alisikika mgonjwa mmoja toka hospitali ya mifupa Milembe Hospital ya kule mjini Dodoma akiwafariji wagonjwa wenzake.