i think chamakh will come to arsenal and hangeland.
At six feet 2 inches, he is very strong in the air and works tirelessly for the team, holding up possession and bringing midfielders into play. Although his strike-rate arguably does not reflect that of the most clinical striker, his contribution to the team's play is invaluable
bora tumewapata celtic hao hamna noma....Champions League play-offs draw zimefanyika mchana huu; 1st leg ugenini! 🙂
ARSENAL vs CELTIC (scotland)
ndio nacheki game hapa arsenal vs valencia nina wasi wasi sana na hii style ya 4 3 3.half time bila bila.4 3 3 proffesor inabidi harudi tu kwenye 4 4 2.kipindi cha pili kimeanza,wilshere.eduardo na walcot wameingia. mpira umeisha tumefungwa 2-0.hio formation ya 4 3 3 ndio kitanzi chetu msimu huu kama wenger ataendelea nayo.hakuna chances yoyote tulio create zaidi ya kila mtu anao anao.
Mazee vp? mboni umeshindwa ku-conclude insha yako..he he he
Final Score
CF Valencia 2 - 0 FC Arsenal
mkuu 4 3 3 hii kama wenger ndio kweli ataitumia basi hana nia njema na timu yetu msimu huu.manake hakuna free style yoyote ya movement zetu kabisa.leo tumecheza kama timu ya daraja la pili ovyo ovyo tu.duuuhhh, tumefungwa?
hehe he, kaaazi kweli kweli...'walisema' mechi ya leo ndio taswira ya EPL itavyokuwa, kwa mwendo huu sijui!!! 🙁
mkuu 4 3 3 hii kama wenger ndio kweli ataitumia basi hana nia njema na timu yetu msimu huu.manake hakuna free style yoyote ya movement zetu kabisa.leo tumecheza kama timu ya daraja la pili ovyo ovyo tu.
kinachomfanya ben haonekane winger ndio hio formatiom 4 3 3.kati alikuwa song,cesc,diaby.mbele arshavin,ben ,rvp.matokeo yake tukawa hatuchezi pasi zetu za kawaida huku tunaenda kushambulia mpira ukitoka kwa cesc unaemfuata anajaribu kutaka kwenda kufunga mwenyewe.kuna kipindi kama ulistukia tukawa kama tunafukuza mpira kwa kundi.jamaa walikuwa wanatupiga counter attack nyingi sana kwa vile tulikuwa hatujajipanga vizuri.hatuwezi kuanza na striker watu wakati tuko weak kwenye defensive midfield yetu na ndio maana tulizidiwa midfield pale.mimi nashauri turudi kwenye formation yetu tu ya 4 4 2.haina haja ya ben kuanza arshavin na van persie wanatosha mbele.kati muache walcot kulia hawakimbize pale kati cesc na denilso/song kushoto kwa vile nasri hayupo amtumie wilshere au eduardo lakini yule jamaa diaby simpendi kinoma.Mimi sio mtaalamu wa fomesheni, lakini nimeona tu through balls zapenya tu pale kati ya back four na holding midfielder, na mabeki wenyewe akina Silvestre kukimbiza na kuzuia nafasi hawawezi , Ingawa Song ana-improve nadhani kweli formation ni ovyo-ovyo na hali ikiendelea hivi huu ni msimu mwingine wa kuvuna ubua.
Halafu Bendtner anachezeshwa wingi ya kulia ..duh yaani sioni hata mantiki. Bendtner ni mrefu hivyo ni mzito na ni mzuri kwa vichwa sasa kwenye wings sijui anapelekwa akafanye nini? Pia naanza kuona pengo la Adebayor maana pale mbele hamna mchezaji anayeweza kukaa na mpira, lishe mgogoro wamejaa akina Eduardo, RvP na Bendtner, hata Arshavin. Na Fab naona amejitahidi kucheza one-two kidogo na Ebue, lakini the rest of the team hamna connectivity kila hajui afanye nini. Kwa kifupi timu haina maelewano uwanjani.
Mimi sio mtaalamu wa fomesheni, lakini nimeona tu through balls zapenya tu pale kati ya back four na holding midfielder, na mabeki wenyewe akina Silvestre kukimbiza na kuzuia nafasi hawawezi , Ingawa Song ana-improve nadhani kweli formation ni ovyo-ovyo na hali ikiendelea hivi huu ni msimu mwingine wa kuvuna ubua.
Halafu Bendtner anachezeshwa wingi ya kulia ..duh yaani sioni hata mantiki. Bendtner ni mrefu hivyo ni mzito na ni mzuri kwa vichwa sasa kwenye wings sijui anapelekwa akafanye nini? Pia naanza kuona pengo la Adebayor maana pale mbele hamna mchezaji anayeweza kukaa na mpira, lishe mgogoro wamejaa akina Eduardo, RvP na Bendtner, hata Arshavin. Na Fab naona amejitahidi kucheza one-two kidogo na Ebue, lakini the rest of the team hamna connectivity kila hajui afanye nini. Kwa kifupi timu haina maelewano uwanjani.
...bora huyo Chamakh aje, nasikia naye ni mmiliki mzuri wa mpira. Dau lake lishashuka toka £16m, mpaka £10m.
'Mchumi' Arene Wenger kang'ang'ana (kutaka) kumnunua kwa 'bei ya jioni', £6m...
Sifuatiliagi Ligue 1 kujua wanavyocheza hawa akina Chamakh lakini nadhani kwenye ku-control mpira na vipaji binafsi wako juu. Sasa kibabu Wenger asipomnunua kabla ya hizi siku 14 za mwanzo halafu mambo yakienda kombo atakuwa mwenye kwenye wakati mgumu.
Wenger hajui kuwa kuna wachezaji injury prone kibao na gemu za mwanzo zote ni muhimu. Ni ubahili wa ajabu sana anaotaka kuufanya wakati angemnunua mapema kijana angekuwa tayari ameanza ku-train na wenzake na hivyo kuwa fit mapema.
Ngoja Celtic wawanyuke kwenye first leg ndo atie akili.
ndio nacheki game hapa arsenal vs valencia nina wasi wasi sana na hii style ya 4 3 3.half time bila bila.4 3 3 proffesor inabidi harudi tu kwenye 4 4 2.kipindi cha pili kimeanza,wilshere.eduardo na walcot wameingia. mpira umeisha tumefungwa 2-0.hio formation ya 4 3 3 ndio kitanzi chetu msimu huu kama wenger ataendelea nayo.hakuna chances yoyote tulio create zaidi ya kila mtu anao anao.
ha ha ha yani umekuja kunitafutia huku haya mkubwa tutakumbushiana maneno yetu.Mwaka wenu huu kushinda vikombe vyote mkuu........kwi kwi kwi
Wenger is confident, more than ever, that his club will finish on top of everyone else. Speaking to BBC Sport, he said: "I envisage only one order. That is Arsenal finishing on top and all the rest can do what they want"
...you've been told!...asiyesikia na asikie!