Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii eufa msimu huu hata sielewi ikoje ikoje, warudishe ile ile ama lah, watafute mfumo mwingine, waache huu.
 
Kuna kipindi Arsenal ilisemwa tunamtaka Buendia mimi pia niliunga mkono, ilikua ni kipindi ambacho tunahitaji AM vibaya mno.

Buendia akachukuliwa na Villa, ikiwa ni response yao kwa kumuuza Jack city.

Juzi Buendia katolewa kwa mkopo ameshindwa kufikia matarajio. On the other hand Arsenal tumetoa kwa mkopo wafuatao

Marquinhos
Vieira
Tavares

Katika hawa ambaye naamini tunamhitaji ni Tavares
 
Reiss Nelson
Sambi Lokonga.
 
Hii eufa msimu huu hata sielewi ikoje ikoje, warudishe ile ile ama lah, watafute mfumo mwingine, waache huu.
Kwa hatua hii imekaa vizuri, mambo ya kupangiwa kundi moja home and away ilikuwa siyo. Sasa unaona watu wanaumbuka huko play-offs.
 
Utashangaa anakuja Rashford
Chid migoli atawasadia sana mtabeba mpaka Uefa msimu huu, ila mtaweza kumlipa £350,000 kwa wiki?
Kesho Mancity wapo hapo Emirates kuchukua points zao 3 kiulaini kabisa.
 
Chid migoli atawasadia sana mtabeba mpaka Uefa msimu huu, ila mtaweza kumlipa £350m kwa wiki?
Kesho Mancity wapo hapo Emirates kuchukua points zao 3 kiulaini kabisa.
Ukija kujua kwamba kihistoria mtani wako wa jadi ni man city na mafanikio yao ni aibu kwako utaanza kuelewa mpira. Sasa hivi wewe bado
 
Ukija kujua kwamba kihistoria mtani wako wa jadi ni man city na mafanikio yao ni aibu kwako utaanza kuelewa mpira. Sasa hivi wewe bado
Man City kwa Man Utd tunamchukulia kama under dog tu, ni kama hapa bongo Simba na Yanga wanavyoichukulia KMC au Azam.
Man Utd mtani wake wa jadi miaka yote ni Liverpool tu.
Hata nyie Arsenyau mashabiki wa Utd huko Uingereza wanawachukulia kama Mtibwa sugar, mtushukuru tu sisi Mashabiki wa United huku Afrika walau tunawapa ka airtime flani hivi na kuwachukulia kama ndio watani wetu wa jadi, ila kiuhalisia hako katimu kenu wazungu wanakaona ni ka mid table team fulani hivi kanako jitahidi kupigapiga pasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…