Ndo watu mnawaogopa hawa?
Si mchezo.Sio suala la kuogopa, Tetea kibarua chake hapo Arsenyau kinatokana na uwezo binafsi wa Salima, Magalasa na SakaNyoka.
Nje ya hawa wachezaji 3 Arsenyo haina tofauti yoyote na Southampton au Ipswich Town.
Ni wale wale walio sababisha mtoke FA.Si mchezo.
Wachezaji gani wanasababisha msitoke nafasi ya 12, 13 & 14
So mna mpango nao ganiNi wale wale walio sababisha mtoke FA.
Ni wale wale walio sababisha mtoke FA.
Mzee tupo sana ila kwa kuibia ibia, tusipokua makini arteta na kai wake watatuvua nguo msimu huu tenaLeo nina ka intaneti kidogo ngoja nitafute muda wa kupost vitu vizuri vizuri vya Ze Ganaz maana Hamisi ametokomea wapi sijui...Mkorea naye amebanwa sana na majikumuu...
Mzee tupo sana ila kwa kuibia ibia, tusipokua makini arteta na kai wake watatuvua nguo msimu huu tena
Sasa naanza kuelewa kwanini hamis77 huwa anakimbia kwa muda jukwaa
Anyway aston villa tutamkanda 3 kavu
Kumbe Labyrinth na mijusi milia wake wamepigwa kwao leo?
Tuna unga unga tuA depleted squad
Dah! Kama vile mapigo ya moyo yameanza kwenda kasi hivii