Mkuu Ina maana yule refa ni colour blind. teh teh teh . Au unaweka ushabiki mbele? kama unajua kanuni unataiwa kuelewa asio mfanya kosa alikuwa
- Ni mtu wa mwisho
- iikuwa goal scoring opprtunity.
Tupunguze ushabiki wa timu jamani. Tuwe washabiki wa soka kwanza then timu baadaye.
haya bana Peasant But kuw 10 Vs 11 sio licence ya draw. Kuna mchezaji 1ja amenunuliwa kwa £50 Million yuko timu kubwa kacheza mechi kama 16 bila hata kufunga goli. Inawezekana na na hii timu yetu ina tatizo hilo. Nadhani unamjua mchezaji mwenyewe