Arsene Wenger: Arsenal fans make me feel like a murderer
Arsene Wenger, Arsenal's most successful manager, says that he has been left feeling like a murderer following the critical response to the club's fourth consecutive season without silverware.
By Jeremy Wilson, Football News Correspondent
The Daily Telegraph
Last Updated: 9:23AM BST 16 May 2009
With Wenger facing the prospect of watching Sir Alex Ferguson win his 11th Premier League title at Old Trafford on Saturday lunchtime, the Frenchman has grown increasingly annoyed at what he describes as "unbelievable" criticism.
This season will be the third in a row that Arsenal have finished fourth and fans are running out of patience, turning on him at a shareholders meeting on Thursday night. But Wenger insisted the attacks on his young side were unfair.
"You sit here, you are in the last four in Europe, and every day, you feel you have killed someone. If you do not take a distance with it, you think what kind of world do you live in?
"We lost against United who have 10 times more resources, they are the best in the world. In sport, you have to accept that. It is like they are ashamed to be fair.
"There is no shame to say, 'Yes you are the best'. We were in the last four with a very young team Β that is the reality.
"We have to keep a little bit of common-sense. Our average age in midfield is 22 Β normally you play not to go down in the.
Issue ya age ya wachezaji anaitumia always kama kivuli cha failure yake kama Manager. Mtu anaweza kuwa na 18yrs na akawadhibiti wazee vile vile.
4 yrs now with same story. It has been too long!!
Arsene Wenger: Arsenal fans make me feel like a murderer
Arsene Wenger, Arsenal's most successful manager, says that he has been left feeling like a murderer following the critical response to the club's fourth consecutive season without silverware.
By Jeremy Wilson, Football News Correspondent
The Daily Telegraph
Last Updated: 9:23AM BST 16 May 2009
With Wenger facing the prospect of watching Sir Alex Ferguson win his 11th Premier League title at Old Trafford on Saturday lunchtime, the Frenchman has grown increasingly annoyed at what he describes as "unbelievable" criticism.
This season will be the third in a row that Arsenal have finished fourth and fans are running out of patience, turning on him at a shareholders meeting on Thursday night. But Wenger insisted the attacks on his young side were unfair.
"You sit here, you are in the last four in Europe, and every day, you feel you have killed someone. If you do not take a distance with it, you think what kind of world do you live in?
"We lost against United who have 10 times more resources, they are the best in the world. In sport, you have to accept that. It is like they are ashamed to be fair.
"There is no shame to say, 'Yes you are the best'. We were in the last four with a very young team – that is the reality.
"We have to keep a little bit of common-sense. Our average age in midfield is 22 – normally you play not to go down in the Premier League with a team like that."....
Kanimaliza kabisa kwa kutaka kumuuza Adebayor ambaye mimi kwa maoni yangu ndiye the best player for 2 years in a row pamoja na kuwa msimu huu unaokwisha hakucheza mechi nyingi kutokana na kuwa kwenye list ya majeruhi.
Nilidhani lengo la msimu ujao ni kuimarisha mstari wa mashambulizi ili kuongeza wafungaji badala ya kumtegemea Adebayor tu kwenye mechi nyingi. Sasa yule mchezaji na mfungaji bora kwa miaka miwili mfululizo anaamua kumuuza tena kwa wapinzani!!!! Makosa ambayo SAF huwa hayafanyi kabisa. It is time to have a new coach to rescue our team.
I don't mind akimuuza Adebayor,...kama alimuuza Anelka, Henry, na Pires...who the heck is Adebayor asiuzwe? ...tatizo anauza mchezaji ananunua 'kituko!', we will win nothing under Wenger, he have lost it completely π‘
Mimi kama mwafrika napenda mwafrika mwenzangu akipata mafanikio na ni wazi Adebayor anawekewa zengwe, na mechi ya jana Mr. Bean anadai alikuwa mgonjwa, lakini inaonekana ni maandalizi ya kumuuza.
Kwa maoni yangu Ade ana kiwango kizuri na mchezaji ambaye amejitahidi sana kutoka kutokujulikana mpaka alipo. Kwa sasa Arsenal hakuna striker atakayeleta vikombe kama watamuuza Adebayor. Mshambuliaji asiyekuwa na nguvu na asiyeweza kukaa na mpira kwenye premiership hawezi kuleta vikombe kwa timu yake..hawa akina Bendtner, RvP, Vela, Eduado ni wachezaji wa kawaida sana.
Huyu ndio nani? Wenger ama? hahahaha..........
BAK masahihisho ni mara ya 3 mfululizoHongereni Wapenzi wa MANU kwa kuwa mabingwa mwaka wa pili mfululizo. Baada ya kuona Ronaldo, Tevez na Rooney wote wanaanza nikajua SAF kapania kuondoka na kapu la magoli. Pia kutokana na goli letu kuwa na gunia nikasema haya si chini ya tatu leo π lakini kama kawaida yetu tukatandaza soka la uhakika lisilo na magoli maana tunataka kumpiga chenga mpaka na golikipa. Pamoja na possession ya mpira karibu 60% mashuti tuliyoelekeza golini sidhani kama yalifika hata matano. Nafasi tulizozipata leo kama mngezipata nyinyi basi si ajabu mngetuchapa 4-0. Kwa mara nyingine tena hongereni sana tutakutana tena mwakani hopefully tukiwa na kocha mpya. π
Kama Wenger anataka kumuuza Ade mi nadhani ni sahihi kwa sababu inaonekana ubaguzi wa kuchagua wachezaji umeingia ktk sehemu ya fans wa Arsenal. Wameshaanza kumzomea, same kama walivyomfanyia Ebue. Mchezaji mweusi anapoanza kuzomewa performance yake inashuka na anakosa confidence on the road.
Nadhani pia akienda Chelsea ata-improve kiwango chake maana jamaa wana mpira wa nguvu na krosi ambazo Arsenal hazipo. Na napenda awe mwiba mkali , mfano wa Anelka kwa hawa washabiki waliokuwa wakimzomea ili liwe fundisho kwa watu wabaguzi.
Mimi kama mwafrika napenda mwafrika mwenzangu akipata mafanikio na ni wazi Adebayor anawekewa zengwe, na mechi ya jana Mr. Bean anadai alikuwa mgonjwa, lakini inaonekana ni maandalizi ya kumuuza.
Kwa maoni yangu Ade ana kiwango kizuri na mchezaji ambaye amejitahidi sana kutoka kutokujulikana mpaka alipo. Kwa sasa Arsenal hakuna striker atakayeleta vikombe kama watamuuza Adebayor. Mshambuliaji asiyekuwa na nguvu na asiyeweza kukaa na mpira kwenye premiership hawezi kuleta vikombe kwa timu yake..hawa akina Bendtner, RvP, Vela, Eduado ni wachezaji wa kawaida sana.
...Mazee lazima kuna experience mbaya ya ubaguzi umeshawahi kuipata. I wonder umeishi miji gani hiyo yenye mijitu isiyo na utu kiasi cha kukuathiri namna hii π ...Cosmopolitan cities i.e London mibaguzi ipo sema sio kama huko vitongojini au Manchester.
....Hata mimi nilijiskia sana (wa -Africa) Quinton Fortune, na Eric Djemba Djemba walipobahatika kuchezea Man United, sema 'ndio hivyo tena'. Anyway, inapoingia sumu ya ubaguzi siwezi changia sana mazee, I reserve my sentiments on these issues kwa sasa.
Mzee Mbu ukweli ni kwamba ukiwa ngozi nyeusi unakuwa jalala la uovu na kila baya litakalotokea ukiwa nchi za watu. Uwe Asia, America na especially Ulaya. Jambo lolote likiharibika kidole kitanyooshewa kwako na utaanza kuwa suspected bila hata sababu za msingi. Tena mbaya zaidi ukiwa mweusi halafu ukawa Mwafrika, yaani una uraia wa nchi ya kiafrika, hapo ndo balaa inazidi.
Kipindi kile Arsenal walipomaliza mechi zisizopungua 5 bila kufunga goli, nilikuwa napitiapitia blogs za hawa wanaojiita fans, kulikuwa na all sorts matusi kuelekea kwa hawa madogo Song, Ebue, Ade .. kana kwamba timu inaundwa na wachezaji hao tu. Nways nakubali kuwa umaskini wetu ngozi nyeusi ndio unatufanya tunyenyekee lakini.. i personally nawapongeza hawa vijana, ningekuwa mimi nisingeweza kuvumilia..
Nashuhudia bonge la game hapa Youth CUP Arsenal VS Liverpool, hapo Emirates...Arsenal wazuri ile mbaya hadi sasa wamempiga Liverpool 4-1, kuna dogo anaitwa Emma Thomas ni balaa...Sanchez naye is only 17 ila shughuli yake acha kabisa...
Kudos Arsenal ..................Mbu upo?
nipo kaka,...π mimi nasubiria game ya tar 27 tu sasa. Hizi zilizochezwa sasa ni kukamilisha ratiba tu, incl iyo youth final.
U have missed a lot nimefurahi soccer aisee....vijamaa vinakipiga kuliko wakubwa kuna beki anaitwa Murphy ni balaa Kolo Toure cha mtoto...well napenda Barca....washinde Man U wananyodo sana!