Mapema sana ku conclude ivyoNimeona kwa timu hii msimu huu Kaz wanayo,
Experience na wazidi kuzoeana,Arsenal hii ni swala la muda tu
Nyumbu Yao yamewashinda ,wamewekwa nasikiaNyumbu kwenye 1 na 2
View attachment 2710211
Ukimtegemea afunge lazima umlaumu 😂😂😂 huyo ni kwa ajili kupresiiiii😂😂😂Havertz huyu ni TAKATAKA tu
Huyu ndiye Kai tunaambiwa laini
Anafanya press vzr Sana
Havertz has looked very bright at CF. His hold up play has been tremendous against Dias and Stones. Linking up, great as well. The miss doesn’t make it flawless, but still, top class.
Huyo sio mount asee umechanganya mafailiHapa kwa Havertz tumepigwa na Chelsea mchana kweupee.Striker anahitaji chance 20 ili afunge goli 1.
Najua mnaumia Sana mnataman afeli ,Acha kujitoa ufahamu
Kai amehold vizuri Sana as false 9Huyu ndiye Kai tunaambiwa laini
Anafanya press vzr Sana
Havertz has looked very bright at CF. His hold up play has been tremendous against Dias and Stones. Linking up, great as well. The miss doesn’t make it flawless, but still, top class.
Nakuacha hapo ufikirie jibu lako.Finishing mbovu vp wakati kipa kaokoa
Timber pale tumepata mchezajiKai amehold vizuri Sana as false 9
Link ya timber na martinel pamoja na midfielders imekua Tamu sana, unatamani muda wote mpira uwe upande huu
Rice so far so gud
Amefanya kiungo kiwe kigumu, hii imepelekea city wachezee pembeni muda mwingi
Bado sijamuona yule odegard
Naangalia. Sifuatilii mpira wa bongo ila naona wanacheza vizuriHivi Kuna watu wanaangalia mpira wa Simba?
Chelsea katudhulumu ile chance angepata jinj Haaland tungeokotea nyavuni. Kai tumepigwa Mc HamisHuyo sio mount asee umechanganya mafaili
Bernado silva.remember the name.dogo mzuri ila hii ndo arsenal bhanaQuality vs quality
City ametuacha experience
City akiwa na mpira hatishi kuliko arsenal akiwa na mpira
Pale city Kuna mtu anaitwa bernado silva