T bag yupo poa mbona , tena yupo ahead of Kai ,ni vile tu sijui Hana nyotaWhat a reaction from T Bag
Nilikwambia Trosaard yupo tayari kwa LCM
NakumbukaNilikwambia Trosaard yupo tayari kwa LCM
sema mwalimu anatafuta combination nyingine Kama 2 hivi
Ila inaonesha vile vile Arsenal bado inahitaji huduma za Partey na Zinchenko ili tuflow Kama kawaida na kuweza kuwa unlock wengine
Underated Ila ni game changer mzuri mnoTunaposemaga Trossard anafungaga magoli magumu au kwenye tight space, mfano wake lile goli lake la kwanza, angekuwa mtu mwengine pale angebutua shuti tu, ila yeye kachungulia pembeni kabisa kwenye angle alafu kabiga chinichini
Kama umeona leo Timber kacheza LB ,ili Saka aendelee kucheza na white Right sideNakumbuka
Naona Mikel anaweza kurotate hivi:
partey, odegard, trossad
Partey, odegard, rice
Partey, odegard, Rowe
Kwa Sasa pale nyumba ni ziny, Gabi, saliba, white
Zinchenko na timber pia wanaweza kuanza pamoja, had timber aki-patner vizuri na saka
Bado Kuna mjapani, tomiyasu, Kiwior, Tierney
Yes nimeiona HiloKama umeona leo Timber kacheza LB ,ili Saka aendelee kucheza na white Right side
Kwahiyo Kuna option nyingine , Timber na white kucheza pamoja but Timber atatokea left na sio right
Profile za Smith , trosaard zinafaa kabisa kucheza LCMYes nimeiona Hilo
Partnership ya white na saka imeshaclick Sana
Kama timber anaweza kupiga Kule kwa zinny, Basi tuanze hivi, in case zinny anapokua unavailable
Kuna muda alivyoingia Rowe,
Kiungo kilikua partey, ode na Rowe
Pata picha alafu zinchenko ndio awe anakuja ku-overload pale Kati