Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Umeona eeh, yan game ya kwa kwanza daaah nikasema bora angesajiliwa ndicka

Sio game ya kwanza tu , huyu kiwior bado sanaaa!! Perfomance yake na timu kama nurberg sijuii tena friendly isikuchanganye, ngoja akutane na kina grealish , bernado na KDB ambao walifanya kina tomiyasu wanatetemeka na kutoa maboko.

Still bado ni dogo sana na as we know epl ni ngumu hata kina stones na ake japo wametoka humohumo epl lakini ilibidi wasubiri zaidi ya miaka 2 benchi kuwa hivi walivyo sasa, Nitashangaa sana tierney akiuzwa, si kila game inahitaji kucheza inverted midfielder. Arteta atafute njia ya kumtumia tierney asilazimishe acheze kama zincheko timu inakuwa na mfumo mmoja tu! Ukigoma ndo kama ivyo game na liverpool ilivyokuwa, Unai emery season ya kwanza alifanya poa magoli mengi yakawa kupatikana kwake ni kutumia winger tu, wakamjulia season iliyofuata ikawa ilivyokuwa.
 
Arsenal lazima tuzungumzwe deal la Rice lime delay kidogo ila nmekuta comment umu hadi mtu unaogopa aiseee
 
Welcome London Timber

Rice is loading...

Mm ninachokiona kwa nyumbu na Kenge ni wivu wa kike
kwasababu soko lipo open kwa wote lakini wote kuta kuchwa kurusha vijembe tu

Kwa nyumbu tuna 6+
Chelkenge tuna 6+
Liverpool tuna 6+
City ajipange kuzuia sare

If possible naiona invisible kwa mbali kidogo
 
Kwahiyo bado kuna mashabiki wa Arsenal mnaamini mtamsajili RICE? 😂

Wataalamu wa mambo tushajua, dili lime-collapse kitambo sana.
 
Majirani wamenuna kwa usajili huu wa Timber utadhani tumebeba UEFA
View attachment 2688042View attachment 2688041
Baada ya usajili wa Ødegaard huu ni usajili mwingine ambao Arsenal mmesajili kama timu kubwa.

Ila bado kuna mashabiki wakipanga vikosi vyao eti Timber wanamuweka bench 😁 Arsenal mashabiki wamechoka kuanzia mmiliki hadi mashabiki.

Hofu yangu kwa Timber ni height yake tu ila akimudu kama Martinez ni kitasa kizuri sana hasa offensively.
 
Arsenal are set to announce the signing of Declan Rice tomorrow after he completed the majority of his media obligations, including at the Emirates Stadium, today.

Statement signing.
 
Kesho weekend. Hakuna usajili utafanyika.
Kutangaza inawezekana ,tetes ndio huwa hakuna

Rice alikuwa Leo London kashamaliza had video ku shoot, maana anatakiwa awepo kwenye msafara wa USA ,

Westham tulikuwa tunawakomesha maana walijifanya wajuaji kumualika city

Ila deal lilishaisha kitambo na medical tayari
 
1. Wanasheria wenu bado wanajizungusha ishu ya paperwork.

2. UK siku za weekend hakuna SWIFT transfers. Mtalipaje up-front fee?

3. Habari za Rice kuwa London hakuna credible source yoyote imeripoti.
 
1. Wanasheria wenu bado wanajizungusha ishu ya paperwork.

2. UK siku za weekend hakuna SWIFT transfers. Mtalipaje up-front fee?

3. Habari za Rice kuwa London hakuna credible source yoyote imeripoti.
Sisi Wana Arsenal tuna credible source za uhakika , Rice ameondoka na jet yupo London ,anatambulishwa kesho

Leaked photo of Declan Rice at London Colney today.

Via @Gunnersc0m

 
Baada ya debut mechi iliyofuata alicheza Nuremberg?

Tulioangalia debut na mechi zilizofuata tunakubaliana kwamba debut alikua hovyo ila akaimprove hatusemi kawa world class
.
Ila kaimprove. Hatujamfananisha na Stones wala Ake
 
Baada ya debut mechi iliyofuata alicheza Nuremberg?

Tulioangalia debut na mechi zilizofuata tunakubaliana kwamba debut alikua hovyo ila akaimprove hatusemi kawa world class
.
Ila kaimprove. Hatujamfananisha na Stones wala Ake

Sawa !! Tusubiri phase 4 ianze hapo August, malengo ya phase 4 ni yapi mwaka huu ili tujue mapema sisi mashabiki wachanga tusiweke big hope yakatoke ya april & may
 
Our defensive options right now:

Tierney: 26 years old
Zinchenko: 26 years old
Kiwior: 23 years old
Gabriel: 25 years old
Saliba: 22 years old
Timber: 22 years old
Tomiyasu: 24 years old
White: 25 years old

Wow.
Tavares umemsahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…