makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,993
- 104,502
arsenal tumezidi aisee dili la rice linaugumu gani kuisha tujifunze kwa man city akitaka mchezaji ni siku tatu tu biashara imeisha
tusije shangaa dili la rice linafikisha mwezi
Mim naona hua kuna delay nyingi sana hasa kwenye timu inayouza mchezaji kwa lengo la kusikilizia ofa kutoka kwa timu nyingine, hii kitu pia ua kinawakuta Man U wakitaka mchezaji, japo sio kila timu inafanya ivyo ila ni baadhi ya deal hua naona hii kituarsenal tumezidi aisee dili la rice linaugumu gani kuisha tujifunze kwa man city akitaka mchezaji ni siku tatu tu biashara imeisha
tusije shangaa dili la rice linafikisha mwezi
Westham Wanataka £120m, ila wapo tayari kupokea £100m ,Arsenal wameandaa ofa ya £90m +10m add onsarsenal tumezidi aisee dili la rice linaugumu gani kuisha tujifunze kwa man city akitaka mchezaji ni siku tatu tu biashara imeisha
tusije shangaa dili la rice linafikisha mwezi
Dili la Rice nalifatilia kwa ukaribu Sana ,kuanzia vyanzo vya kuaminika vya Westham , vya Arsenal , na vile global Kama Romano, Ornstein ,n.kMim naona hua kuna delay nyingi sana hasa kwenye timu inayouza mchezaji kwa lengo la kusikilizia ofa kutoka kwa timu nyingine, hii kitu pia ua kinawakuta Man U wakitaka mchezaji, japo sio kila timu inafanya ivyo ila ni baadhi ya deal hua naona hii kitu
Hapo ulipotaja jack wilshere umenitonesha kidondaDili la Rice nalifatilia kwa ukaribu Sana ,kuanzia vyanzo vya kuaminika vya Westham , vya Arsenal , na vile global Kama Romano, Ornstein ,n.k
Vyanzo vya ujerumani vya kuaminika vimethibitisha kabisa Bayern kajitoa mazima baada ya Rice kusema anataka abaki London
Kilichopo mazungumzo yapo vzr na Ni kuhusu ulipaji ndio inakuwaga issue
Hizi dili za €100m,£100m+ ,Mara nyingi huwa pesa hailipwi yote Kuna upfront inatangulia kwanza ,
Mpaka Sasa klabu zote zilizokuwa zinamtaka Rice zimejiondoa baada ya kuonekana Arsenal alishamalizana nae muda mrefu toka round ya kwanza mechi ya pale Emirates
Pia Jack wilshere aliongea nae Rice
Safi hamis unatupa updates jukwaa linachangamka, za ndani kabisa uhakika no kubumbwa.Sami Mokbel mwandishi wakuaminika
Basi Ni dhahiri tunaweza kumpata Kai, hatupo mbali na valuation ya Chelsea , na wameombwa wapunguze
Arsenal willing to pay 60m including addons for Havertz. Chelsea holding out for 70m. Arsenal willing to pay over 200k a week wages. Havertz keen on the move. Arsenal will go for Havertz once Rice Deal is done
(@SamiMokbel81_DM - Tier 1)
Wanazunguka sana mwisho wa siku wanaporwa mchezaji,arsenal tumezidi aisee dili la rice linaugumu gani kuisha tujifunze kwa man city akitaka mchezaji ni siku tatu tu biashara imeisha
tusije shangaa dili la rice linafikisha mwezi
Kwan hujui kilichotokea kwenye ishu ya mudryk?Wanazunguka sana mwisho wa siku wanaporwa mchezaji,
Kwa mudryk ilikua hivi hivi chelsea waliingia mara moja tu wakabeba mchezaji
Mudryk ziliingia Siasa hapo katikati, mchezaji alitamani sana kucheza Arsenal furaha yake ilipo.Wanazunguka sana mwisho wa siku wanaporwa mchezaji,
Kwa mudryk ilikua hivi hivi chelsea waliingia mara moja tu wakabeba mchezaji
Mkuu Hawa watu muwe mnaangalia nankuwajibu ,Nani asiyejua ishu ya mudrky Ni siasa mule ziliingia,Tena Arsenal waliofa kile kile walichoofa Chelsea ,(€100m) na mshahara ulipishana 10k tu,Kwan hujui kilichotokea kwenye ishu ya mudryk?
Ndo maana ukisoma hapo juu kwenye Taarifa za usajili msimu huu ni kua Arsenal wamebadili utaratibu wa kupeleka ofa kwenye timu, ili kuepusha kurud mara 3 hadi 4.
Kwan wameachana Rice? Habar umetoa wapi hiiKama kawaida yetu tetesi zunatuhusisha kusajili mchezaji wa mil 100 mwishowe tuna msajili wa mil 30.