ESR wasimguse kabisa.Usichojua ni kwamba hata waandishi nguli wa habari/usajili wanazifuatiliana saana habari za Arsenal hata pasipopaswa wao kutoa taarifa wanazitoa sababu wanazijua wao na sisi tunazijua sana why wanafanya ivyo,
Ishu ya Rice ilianza mara
Wanasubili fainal imalizike,wanajiandaa kituma ofa,watatambulisha ofa yao ya kwanza,mara kuna uwezekano wa kumjumuisha na ESR ili mradi tu.
Ukiangalia saga la Mbappe inaonekana wazi PSG watamuuza dirisha hili, na yupo tayari kwenda timu tofauti na Real Madrid kama watashindwa kumsajili.
Dili la Mbappe hadi kukamilika approximately, €300m, kuna club fee, player fee, agent fee. Real wana maeneo baadhi ya kuboresha ndani ya kikosi, wamemsajili Jude kwa €100m, maanake kumsajili mbappe na Jude watatumia karibu €400m dirisha hili,
Real Madrid Kama watashindwa ku afford hili dili Kuna uwezekano Mbappe akaenda timu tofauti. Mbali na Real Madrid, Bayern na Man city wana nafasi.
Conclusion; Kama timu yako haina hela usimuwaze Mbappe, na kama timu yako haipo UEFA piga kimya kabisa.
Hujalazimishwa kuchangia ,pita kimyaBora umwambie huyu mzeeyeye kila siku arsenal are expected to launch 92 mara 100m for Declan rice
Mwisho wa siku yupo German au utd kama wanamtaka waweke vitu mezani sio ku expect tu ohooo
Yaan caceido atoke timu ndogo Brighton aende timu ndogo Ass anal, atakua hajielewiBayern wamejitoa kwa rice bado Chelsea kujitoa kwa caicedo, deal done at weekend..
Nilichogundua wewe hujielewiYaan caceido atoke timu ndogo Brighton aende timu ndogo Ass anal, atakua hajielewi
Kwa wale ambao ngeli inapanda na terms za kimpira wanazielewa kimtindo, kuna thread nimeiona Twitter, jamaa anaitwa @EBL2017 kaeleza vizuri mno utofauti wa Rice & Thomas Partey, you can check it out my broda.
Ina maama cesc hakushinda premier league akiwa arsenal, arsenal ya unbeaten hakuwepo??View attachment 2656541
Miaka 9 iliyopita siku kama ya leo cesc alirudi epl kama mchezaji wa chelsea
HakuwepoIna maama cesc hakushinda premier league akiwa arsenal, arsenal ya unbeaten hakuwepo??
Makosa makubwa mno kama Partey ataondoka msimu huu.Arsenal have renewed interest in Caicedo who is likely to cost 80m pounds
Two Italian clubs have shown interest in Partey, and Arsenal could be offload him if they get a deal for Caicedo over the line.
(@garyjacob )
thetimes.co.uk/article/transf…
Makosa makubwa mno kama Partey ataondoka msimu huu.