Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Josh, anajua kubalance happiness of fans na kupiga pesa, baba a miser
 
Josh ndiye Kama mtendaji mkuu na yupo karibu Sana na timu

Tim Lewis huyu alikuwa mwanasheria wao kwenye makampuni yao huko USA , walimleta Arsenal maana jamaa ana CV kubwa Sana, alipofika akaaanza na kuwatimua waliokua wanampiga pesa Kroenke ,akiwepo Raul Sanheil ,dili la Pepe na mengine jamaa aliwapiga pesa ndefu ,

Unaambiwa dili la Pepe tu Kroenke alitoa €100m aliambiwa nyingine za mawakala ,Kuna deals za Leno, Toreira zote zilikuwa na upigaji .Huyu jamaa alifanya usafi kwenye management


Wanamuamini Sana kwenye kusimamia Mali zao .

 
Umenikumbusha mbali. Mhuni huyu tulikuwa tunamuita Don Raul. Kumbe jizi tu
 
Arsenal imemtangaza Stan Kroenke na Josh Kroenke kama Wenyeviti huku Tim Lewis akiwa Makamu Mwenyekiti Mtendaji.

Stan Kroenke alisema:

"Haya ni mageuzi rahisi kama sehemu yetu sote tunaipeleka Arsenal mbele na inathibitisha zaidi kujitolea kwa muda mrefu kwa familia yetu kwa klabu hii kubwa. Utulivu katika soka haujawahi kuwa muhimu zaidi tunapopita janga hili, na tunaamini huu ni wakati mwafaka wa kurasimisha majukumu haya.

"Malengo na matarajio yetu kamwe hayatayumba - kujenga timu inayoshindania mataji katika kiwango cha juu na kuongoza klabu yetu kwa njia inayowatia moyo wafuasi wetu na wapenzi duniani kote.


"Tukiungwa mkono na Mkurugenzi wetu, Phil Harris, na pamoja na Timu yetu ya Utendaji na watu wetu wote tuna fursa nzuri ya kujenga na kudumisha tamaduni ya Soka ya Arsenal."
 
Umenikumbusha mbali. Mhuni huyu tulikuwa tunamuita Don Raul. Kumbe jizi tu
Tim Lewis alimtimua Raul Sanheil ,walimpiga Sana Pesa Kroenke , Don Raul alipokosea ni kugoma Arteta asipewe mamlaka makubwa , akitaka usajili awe anafanya yeye , pale barcelona madudu mengi alihusika ,kesi ya usajili wa neymar yeye ndiye alihusika pia,

Alikasirika Sana Arteta kupewa u meneja ,alitaka abakie head coach tu awe mzee wa NDIYO BOSS




Former Arsenal head of football Raul Sanllehi has admitted he feels his old employers have made a mistake in changing Mikel Arteta's job title at the Emirates.

The Gunners have tried desperately to find some solid structure in the aftermath of Arsene Wenger's departure back in 2018
 
Kumbukumbu zangu ziko hovyo. Kumbe Arteta alimkuta Don Raul? Nilifikiri aliondoka na Emery au kipindi Cha Emery
 
Unafikiri city watarudia makosa kutupa Gundoghan
 
Huyu dogo juzi hapa ilionekana anaelekea Barcelona ,leo Kuna habari hii ,


| Gabri Veiga, who was linked to Real Madrid, dreams of joining Arsenal. It's his favorite club abroad.

@Manu_Sainz #rmalive
 
Arteta anasema hadi Sasa Project ipo phase ya 3 Kati ya 5 ili ikamilike wanavyotaka

Project inaitwa THE ARSENAL WAY (Possession , Overload and kill the Game)

| Mikel Arteta when asked what phase Arsenal is in now:

“Phase 3… Phase 3 is a period of time and we're a little bit ahead of schedule. It's something a little bit private. It's just my understanding and vision of what the club was, and what we have to capture and develop.

“I like to do it looking forward first and then you have to do it backwards. It just my idea of the club and the decisions we have to take to move it forward.”

“Obviously you need a team, all together thinking the same way and in the same direction and we're lucky to have that at the club.” #afc

[@ESPNUK] #afc
 
Asifichue sana Siri za kambi. Tupo tusiomuelewa ila Cha muhimu ni ushindi na Mataji. Yeye apate hivyo vitu sisi hatutajali mambo ya phases.

Saivi tumefurahi kiasi kikubwa kama mashabiki. Hata tusiposhinda kombe msimu huu sidhani kama watu watapanic kama misimu iliyopita
 
Umuelewi Arteta?
How?
 
Umuelewi Arteta?
How?
Si unaujua mashabiki wengine hatutaki mambo intellectual sana kwenye mpira. Tunataka tu burudani na ushindi. Hatutaki kuumizwa akili na maneno mengi sijui process sijui phases...hayo tunakutana nayo kwenye maisha yetu na ingawa tunajua mpira uko hivyo pia, hatupendi kusikia. Shinda mechi tena shinda Kwa kutoa burudani, then shinda Mataji. Hiyo ndiyo arsenal way
 
Edu alisema tuko halfway through the process, wadau wakauliza kama hapa tulipo ni halfway je mzigo ukikamilika itakuaje?

Tutarudi palepale kwamba project ilivyopangwa kwa sasa tuko ahead of time frame iliyowekwa ila yote kwa yote mashabiki tunahitaji burudani na makombe
 
Of course, Arsenal way inaanza burudani mambo ya 'sexy-football' kisha mataji

Ukitaka pelechupelechu na mpira wa janjajanja unahamia unyumbuni/darajani kwenye mikenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…