Arse88 yenyew anayo mwaka w ngap na hana hata big4. Mashabik w Arse88 nawaonaga wehu.Arteta akipewa Canada anachukua World Cup
Tako linakuwasha nini home boy!Arse88 yenyew anayo mwaka w ngap na hana hata big4. Mashabik w Arse88 nawaonaga wehu.
Arse88 yenyew anayo mwaka w ngap na hana hata big4. Mashabik w Arse88 nawaonaga wehu.
Asavali hii imekaa njema.
Kwa hiyo umejiona mjaanjaa, kumbe unaonekana fala tu.Tako linakuwasha nini home boy!
Muangalie Musiala wa UjerumaniKusema ukweli timu zote zenye Wachezaji wa arsenal zitoke tu, in particular Ghana and Switzerland, we can't afford losing someone like partey and xhaka.
Hao Brazil najua hawachezi watarudi wakiwa fit,
Kuna huyu Enzo Fernandez wa Argentina si haba.Kusema ukweli timu zote zenye Wachezaji wa arsenal zitoke tu, in particular Ghana and Switzerland, we can't afford losing someone like partey and xhaka.
Hao Brazil najua hawachezi watarudi wakiwa fit,
Tom na Granit ndio key players wenu ! Wakipata injury tu imekula kwenu, na kwenye nchi zao wale Ni regular staters,,, !!!Kusema ukweli timu zote zenye Wachezaji wa arsenal zitoke tu, in particular Ghana and Switzerland, we can't afford losing someone like partey and xhaka.
Hao Brazil najua hawachezi watarudi wakiwa fit,
Timu zao zitolewe mapema tuTom na Granit ndio key players wenu ! Wakipata injury tu imekula kwenu, na kwenye nchi zao wale Ni regular staters,,, !!!
sema swis na Ghana hawafiki mbali ,,,wakijitahidi wanaishia 16 Bora !
Watapigwa kama ngomaArsenal’s next six fixtures after the World Cup break:
West Ham H
Brighton A
Newcastle H
Oxford United A
Tottenham A
Manchester United H
#afc
Newcastle ndo mechi ngumu hata hivyo tupo nyumbaniArsenal’s next six fixtures after the World Cup break:
West Ham H
Brighton A
Newcastle H
Oxford United A
Tottenham A
Manchester United H
#afc