Huyu kila mwaka lazima afanye makosa kama hayo ya kujirudia, ataenda game 10 kafanya poa ila ndan ya game 20 lazima atafanya ujinga tena huyu habadiliki miaka yoteNinaamini Magalhanes hatafanya ujinga kama ule tena.
Kocha sasa ahakikishe anasajili kiungo mkabaji mzuri.
Leo nketia kawa hatari zaid hata kuliko jesus, nketia kaleta kitu kipya kwenye game ya leo ambacho jesus kilimshindaMzuri!!?Tuseme ndo Jesus aumie,
unaweza enda naye msimu mzima Kama main striker wako!?
Watu wanaleta ushabiki maandazi kwakweli, hata Nketiah kabidili mpira ila watu awa appreciate mchango wake leoAcha ushabiki maandazi,hivi umeona kazi ya Elneny au unaandika USHUZI humu!!!shame on you
Pasi moja ya partey inaweza kua na madhara na kubadilisha game nzima kuliko pasi 100 za ElnenyNimeshangaa sana,hakuna Mpira hata mmoja ambao Elneny alikosea lakini bado shabiki maandazi mmoja kwa kuwa amekremu Partey basi anaona Elneny si lolote!!!huo ni ujuha kabisa,huyo Partey anapotezaga mipira sana tu lakini hata huwa hawasemi humu!!!ajabu sana
Elneny tangu Ligi ianze hajacheza Mechi hata Moja,leo kafanya kazi nzuri sana pale katikati lakini shabiki maandazi anakosoa khaaa!!sijui alitaka achezaje sasa!!!
Eneo lililokua nina mashaka ni beki coz Yule strike wa Fulham alikua anatumia nguvu sanaWatu wanaleta ushabiki maandazi kwakweli, hata Nketiah kabidili mpira ila watu awa appreciate mchango wake leo
Tumetawala Kati mwanzo mwisho na Elneny akiwepo, hajafanya any Blunder ,lkn tunataka tufosi ionekane kulikuwa na shida Kati Kati
Elneny Kafanya alichoambiwa afanye, kuintercept, kupora mipira, kukaba hayo mangine ni uziada , ambapo Kwa gem ya Leo sikuona kama eneo la kati linatatizo.
Ispokuwa umakini katika kumalizia nafasi ndio jambo lililochelewesha ushindi wa leo na sio kwa sababu ya Elneny kuchelewesha mipira.
Nadhani wengi tunatamani elneny acheze kama partey jambo ambalo sio rahisi pasi za partey ni sumu
Odegaard alikua yuko Moto zaidi ya sana, alikua msumbufu sanaMartin Ødegaard's game by numbers vs. Fulham:
100% cross accuracy
100% take-on success
91 touches
11 final third entries
10x possession won
8 duels won
5 take-ons
3 tackles
3 shots
2 chances created
2 shots on target
1 goal
He's had a fantastic start to the season.https://t.co/NUsUF3iHLz
Nimeshangaa sana,hakuna Mpira hata mmoja ambao Elneny alikosea lakini bado shabiki maandazi mmoja kwa kuwa amekremu Partey basi anaona Elneny si lolote!!!huo ni ujuha kabisa,huyo Partey anapotezaga mipira sana tu lakini hata huwa hawasemi humu!!!ajabu sana
Elneny tangu Ligi ianze hajacheza Mechi hata Moja,leo kafanya kazi nzuri sana pale katikati lakini shabiki maandazi anakosoa khaaa!!sijui alitaka achezaje sasa!!!
Gunners midfield is bigger than El Neny! 130 accurate passes 120 to William 10 to gabriel. if we don't get Thomas back up we gonna suffer seriously. Quick recoveryWatu wanaleta ushabiki maandazi kwakweli, hata Nketiah kabidili mpira ila watu awa appreciate mchango wake leo
Tumetawala Kati mwanzo mwisho na Elneny akiwepo, hajafanya any Blunder ,lkn tunataka tufosi ionekane kulikuwa na shida Kati Kati
Elneny Kafanya alichoambiwa afanye, kuintercept, kupora mipira, kukaba hayo mangine ni uziada , ambapo Kwa gem ya Leo sikuona kama eneo la kati linatatizo.
Ispokuwa umakini katika kumalizia nafasi ndio jambo lililochelewesha ushindi wa leo na sio kwa sababu ya Elneny kuchelewesha mipira.
Nadhani wengi tunatamani elneny acheze kama partey jambo ambalo sio rahisi pasi za partey ni sumu
Elneny was poor today as he did not impress defensively he made just one tackle while he scored zero judging by interceptions, clearances and blocked shots. Offensively, he scored zero in terms of shots, shots on target, key passes, and dribbles.Pasi moja ya partey inaweza kua na madhara na kubadilisha game nzima kuliko pasi 100 za Elneny
Kuna habari kwamba bodi imemwambia Arteta hakutakuwa na usajiri mwingine dirisha hili ni za kweli?Jamano flexibility ya Partey kwa DM ni wachache wanaweza kua nayo.
Ndiyo maana Partey na Elneny walivyocheza pamoja ilikua mid ipo stable mno kwakua Mo alikua anadefend na Partey anadefend na kupanda. Defensively Elneny is our man ila tukitaka kushinda na kua threat Partey inabidi awepo.
Social media zote naona zinazungumzia umuhimu wa Partey na kuitaka bodi ilete mtu wa kumpa changamoto Partey kama Zinchenko kwa Tierney
Asingemtoa pepeKuna habari kwamba bodi imemwambia Arteta hakutakuwa na usajiri mwingine dirisha hili ni za kweli?
Mnazitoa wap hizo habari?Kuna habari kwamba bodi imemwambia Arteta hakutakuwa na usajiri mwingine dirisha hili ni za kweli?