Nyie vibonde wetu tu, kipind Cha Mourinho tu ndio mmetusumbuaPre season ndio muda wenu wa kutamba.
Mnapigwa nje ndani ,Barca mbingu wataisikia tu😂😂Pre season ndio muda wenu wa kutamba.
Una moto sana kipindi hichi cha pre season wenzio waliokuwepo humu wanakuchora tuMnapigwa nje ndani ,Barca mbingu wataisikia tu
| Cesar Azpilicueta (Chelsea's captain) wants to join FC Barcelona.
@FabrizioRomano []
Cry moreUna moto sana kipindi hichi cha pre season wenzio waliokuwepo humu wanakuchora tu
Msije tu nyie ndio mkakimbia uzi.Kuna vilabu havitaleta timu uwanjaniView attachment 2303892
Arteta amesema Usajiri badoCentral defence naona kwa kuja kwa Salib tuko poa. Left na right back naona tuwe na backup anayefaa pande zote. Hii ni kwa sababu tunaweza kuwakosa tomiyasu na tierney. Zinchenko na cedric naona hawatoshi maana xhaka kama kawa lazima atakula red na suspension na tutahitaji zinchenko katikat
yea. Nimemtaja cedric kwa maana yeye ndiye ana uwezo wa kucheza rb na lb so tuwe na mwingine kama yeye ili tukiwakosa tomi, tierney na xhaka, basi zinah acheze kwa xhaka. Nisingependa white au saliba watumike kama rb haswa na huu mpngo wa subs 5. Kama white namuona ana u david luiz katika kuanzisha mashambulizi na lofted/through balls, nisingependa awe wasted pembeni huku timu zikiwa zinauwezo wa kufanya subs kibao tunapowazidi kimbinu. Bora kupata proper fullbacks tu.Arteta amesema Usajiri bado
Kuna nafasi 2 zitazibwa CM na RW
Nafas ya RB kwasasa hawana uharaka ,watawatumia Ben White na Cedric
Cedric amecheza mech nyingi vzr
RB had January ndio Wataanza kutafuta Mbadala ,pia Kuna dogo kutoka academy alikuwa mkopo yupo vzr
ben white kacheza sana RB alipokuwa brighton na yuko vizuri sana, juzi game ya Chelsea pia kacheza nafasi hiyo kabla ya kuingia cedricyea. Nimemtaja cedric kwa maana yeye ndiye ana uwezo wa kucheza rb na lb so tuwe na mwingine kama yeye ili tukiwakosa tomi, tierney na xhaka, basi zinah acheze kwa xhaka. Nisingependa white au saliba watumike kama rb haswa na huu mpngo wa subs 5. Kama white namuona ana u david luiz katika kuanzisha mashambulizi na lofted/through balls, nisingependa awe wasted pembeni huku timu zikiwa zinauwezo wa kufanya subs kibao tunapowazidi kimbinu. Bora kupata proper fullbacks tu.
Daaaahhh Arsenal zamani mlikua na jezi kali kinyama, mi nimeielewa sana hio ya dreamcast.ANAYEHITAJI HIZI JEZ ZA ZAMANI ANICHEKI ZIPO CHACHE
BEI NI 35,000