Saka anaweza kusaidiwa na marquinos au vieira c anaweza kutokea upande ule anaocheza saka
(Pep style)
Hapo tumalizane na kiungo ligi ianze
Nawaambia kuna vilabu hazitaingiza timu uwanjani
Sizitaki mbivu hiziDavid Ornstein says Arsenal interest in Martinez was concrete but were not ready to pay that sort of money (after United entered the race) for someone they had plan to compete with Tierney for a starting place.
Sio Maneno yangu aisee Ni kutoka Bodi ya Arsenal ,man u kapigwa €64m kwa Lisandro ,Arsenal Kaenda kubeba €35m ZinnySizitaki mbivu hizi
Bado Bench la Ufundi halijamuona Marquinho Kama msaidizi halis wa Saka,Saka anaweza kusaidiwa na marquinos au vieira c anaweza kutokea upande ule anaocheza saka
(Pep style)
Hapo tumalizane na kiungo ligi ianze
Nawaambia kuna vilabu hazitaingiza timu uwanjani
Pepe aondoke asiondoke ashaambiwa atafute timuPepe akiondoka ndio possibility ya RW kutua itakua kubwa
Anachokifanya arteta ni kuwa ukikutana na arsenal ni sawa umekutana na city
Kuna mpira mkubwa sana unatengenezwa kupitia blue prints za Wenger na Pep
Na ikitokea hizi nafasi mbili za RW na Kiungo tunaongezea. Hapo tutakua kwenye kupambania ubingwa, yeah title contender
Naona Odegard kuna jambo amepania msimu huu
View attachment 2296086