Mwamba amecheza chini ya walimu sita tofauti, wenye uzoefu na ubora tofauti, but learnt nothing at all, he will cost you games the same way he did 8 years back and the same way he did last year and a year before that.
Kifupi KalaMashaka ana kipaji ila kadiri muda unavyoebda haoneshi kujifunza kutokana na Makosa aliyowahi kuyafanya huko Nyuma. Daima anakosea mule mule as trend.
KalaMashaka anaweza kukupa furaha game 2 au tatu kisha ile ya muhimu kabisa anatia doa kwa kutugharimu mahala ambapo anheweza kuepuka hilo.
Daima Milalo yake ya kutoa mipira uvunguni ni kamari hata kama mara kadhaa anaipata but siku ukiikosa tayari umetia mashaka kwa Team, kama sio penati basi vyote pamoja penati na kadi nyekundu.
Kwa mpira wa kisasa ulivyojaa maarifa upungufu wa mtu mmoja ni mzigo kwa wenzio ukiowaacha kiwanjani