Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Mkuu, hao wachezaji wengine wangetokea wapi pale?? Hebu kaangalie japo marudio ndugu hahaahahh.Pale xhaka alitakiwa azuie njia au amfanyie disturbance tu. Wachezaji wengine wangekuja kutoa msaada
Hapati namba si inamaanisha atapata sasa hivi Arsenal kwakua mid hawapo au?Miguel amerudishwa kwa sababu hapati namba na sio kuwa arsenal wanataka wamtumie.
Usajili uko palepale.
Katika timu yenye midfielders wengi ni Juve, hata Ramsey alipoamua kwenda pale nikaona anajichoma tu coz at one point kulikua na mid saba mpaka kumi.Negotiations between Arsenal and Juventus for Arthur Melo will continue in the coming hours. Arsenal offering loan deal plus full salary covered until June - no obligation to buy clause included, as of now.#AFC
Juventus are not accepting until they find a replacement.
FabrizioRom
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Mimi pia naamini hili.....Katika timu yenye midfielders wengi ni Juve, hata Ramsey alipoamua kwenda pale nikaona anajichoma tu coz at one point kulikua na mid saba mpaka kumi.
Leo hii kudai wanahitaji replacement siyo kweli, wanachelewesha makusudi expecting a most favorable deal
watamtafutia timu itakayompa playing timeHapati namba si inamaanisha atapata sasa hivi Arsenal kwakua mid hawapo au?
Arteta anamng'ang'ania wa nini NketiahTielemans amegoma kunegotiate mkataba na foxes inadaiwa anajiandaa kuondoka kiangazi.
Nketiah kagoma kuongeza mkataba Arsenal ila kwenye game na Nottingham tumemuona Eddie. Nafikiri auzwe kama alivyotaka tupursue loan deal ya Jovic
Perfect replacement ya KalaMashaka, perfect foil ya Partey, and perfect freedom ya kucheza tutakavyo kwa kuwatumia kwa pamoja ESR na MΓila tuacheni utani,tukimpata yule arthur melo ni mtu sanaa daah
NOW YOU ARE TALKINGAse8 tunawasubiria fainali, liverkuku watatoka hawana ujanja wa kushinda bila salah na mane.
The blues vs Ase8 itakuwa fainali nzuri sana.
Ukimpata Arthur ni umempata Partey mwingine ila huyu wa sasa hana speed.ila tuacheni utani,tukimpata yule arthur melo ni mtu sanaa daah
Haya mtakuwa 11 match ijayo.Likitokea deal wanamtaka xhaka, basi auzwe tu
Pale xhaka alitakiwa azuie njia au amfanyie disturbance tu. Wachezaji wengine wangekuja kutoa msaada
Laiti tungekua 11vs11 Liverpool alikua anakufa ata goal 3
Kama ukiangalia kabla ya red kadi, tulikua na domination huku tukikabia juu
Baada ya red card tulipak bus
hazina ya kesho iyoArteta anamng'ang'ania wa nini Nketiah
Mie xhaka kwangu, kujjsemea wamakonde "haninogei"Kuna jamaa kasema ole wako akukute unamtetea Xhaka analala mbele na wewe
Kuna jamaa kasema ole wako akukute unamtetea Xhaka analala mbele na wewe
ππππMie xhaka kwangu, kujjsemea wamakonde "haninogei"
Sent from my COR-AL10 using JamiiForums mobile app
Msijali umri umeenda atatuachia timujamaaa anaboa sana always kwake kutuachia maumivu sisi fans ni kawaida hataki kulearn kabisa