Okonkwo kasajiliwa na Arsenal akitokea klabu gani vile?😅😅Kuhusu usajili wa mtu Ighalo, umeona kwa United inaonekana kama big deal lakini kwa timu kama Arsenal ni kitu cha kawaida
Ndio maana wapo akina Tomiyasu, Okonwo, Kolasnic, yule beki Mbrazil na wala hamnung'uniki
Nikukumbushe tu, kuwa hizi timu kuna wakati zinafanya sajili kama hizo (ila ni mara chache cha sana). Mfano Barca wamewahi kumsajili Boateng, Braithwaite n.k. Bayern wamesajili mtu kama Choupo Moteng mchezaji wa zamani wa Stoke City. Mifano ipo mingi.
Kuhusu akina Pelestri nilishakufafanulia. Usipotaka kuelewa that's not my problem
Ragnick juzi amekwambia when a club like Manchester United come calling, no one can reject such opportunity
Umeamua kuhamisha mada? 😅😅😅 Hii tabia tuiiteje?So it's okay kwa wewe kufuata sources za udaku ... Eti aliyetamka [emoji23]
By the way, mimi nanunua screenshort za Arsenal akiwa juu ya Man Utd kwenye table ya ligi
Nina ka 50K hapa [emoji1][emoji1430][emoji1][emoji1430]
Kumuita Fabrizio Romano ni sehemu ya udaku inafanta nijifikirie kidogo.So it's okay kwa wewe kufuata sources za udaku ... Eti aliyetamka [emoji23]
By the way, mimi nanunua screenshort za Arsenal akiwa juu ya Man Utd kwenye table ya ligi
Nina ka 50K hapa [emoji1][emoji1430][emoji1][emoji1430]
Siku tunafungwa 8 na United ilikua tunafungwa ila tunaonyesha tunatafuta magoli. Nafikiri ndiyo sababu Arsenal chini ya Wenger ilikua na Djourou and the like ila kugusa UCL ilikua kawaida as Arsenal ilijiandaa kutafuta magoli.As a coach, Mikel Arteta may have brilliant ideas, but he lacks the courage and bravery to execute them. His team retreats when it is expected to press or go forward; falls back to defend, when it is expected to attack. As head coach, he is, practically, still naive and timid.
Most of the time, what I see in his eyes, when he stands up to instruct his players in the course of the game, is fear, as against confidence".
Ooooh! God, this team gonna kill me
Kwa ajili ya wachezaji wangapi?Kama sijakosea in the last two years mmespend sio chini ya 250m(pounds) kusuka kikosi chenu! Mnalitambua Hilo ? Msije sema hampewi bajet ya kusajili
He is going no where.[emoji466] Arteta Out - trending on Twitter [emoji390]
Mchezaji ambaye hana hata ballon dor wala kombe lolote la maana akiongea pumba kama zile huwa anapuuzwa.Ronaldo hakua na sababu ya kuondoka Juve kilichomtoa ni kutaka kurudi kwenye headlines baada ya Messi kwenda PSG.
Nimesahau nani alisema hiyo ishu.
Ballon d'or? Yea anazo so what? Same fans mnasema ujio wa Ronaldo umemgharimu Ole kazi as hakua kwenye mipango yake na blah blah kibao. Hata aliyesababisha aje hapo ni Alex na siyo Ole wala bodi simply kwakua Ole na bodi kwa ujumla wake haina hiyo pulling power.
Juzi nilipost maneno ya Zlatan juu ya kusema united ni small team ukadai ni anaropok lakini kwa usajili wa ST Ighalo, Pellistr na Facundo unampingaje Zlatan?
Kwa majibu haya akirudi nitag[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unaongelea klabu haina pulling power, wakati huo huo unamtaja mjumbe wa bodi Ferguson ndio alifanikisha kumleta Ronaldo [emoji23], unakifahamu unachokiongea ndugu yangu?
Unadhani kwanini Arsenal haina wajumbe influencial wa kumshawishi CR7 aende Arsenal
Halafu eti unasema Ronaldo alitaka headlines, are serious brother? Mtu ana followers zaidi ya milioni 300 instagram atake headline kupitia transfer?
Hata ingekuwa hiyo ndio sababu (HEADLINE) unadhani Arsenal au klabu zenye hadhi ya Araenal zilikuwa zina chance hata asilimia 0000.1 ya kumsajili?