Stick to your team, you talk like you know arsenal ins & out, mijadala ya kitoto hiyo hatupo hapa kushindanisha timu na wewe, You won 3-2 inatosha.Hehehehe Man Utd imekuwa ikimfunga Arsenal miaka yote bila kujalisha ipo vzr au vby, wewe shikilia msimamo wako kwamba kocha hafai lkn usimkosoe kocha kisa kafungwa na Man Utd team iliyowafunga Villarreal na Atalanta ambazo ni kubwa kuliko Arsenal.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu nisamehe kwa kusema ukweli, sirudii tena kaka.Stick to your team, you talk like you know arsenal ins & out, mijadala ya kitoto hiyo hatupo hapa kushindanisha timu na wewe, You won 3-2 inatosha.
..siyo vyema sana kumjibu shabiki wa man u..alafu huu ni uzi wa Arsenal..pambaneni kesho mpo naViera huko kwenu kwenye matofali yakuchoma..Alafu Man city, Utd, Chelsea na Liverpool ziende wapi? Hivi unajisikia unachoongea?
Sent using Jamii Forums mobile app
..as long as malengo yetu msimu huu kumaliza nne bora..Kwangu haukuwa usiku mbovu mno. Mimi huwa naangalia zaidi ya match results.
We are doing good.
COYG
Nakuelewa mkuu, binafsi nilikuwa disappointed kwanini hatukulearn from our game vs Liverpool, all in all united match was a big lesson to our young players, nachokiina Arsenal ni inferiority complex kuna disconnection btn instructions and excution, haiwezekani kila game after leading a goal then we sit off.Kwangu haukuwa usiku mbovu mno. Mimi huwa naangalia zaidi ya match results.
We are doing good.
COYG
Abramovich anahusika nini na Arsenal? Arsenal & Chelsea hazijawahi kufanana na wala hazitokuja kufanana So Stop looking at your neighbor lawn.Hizi blah blah hutazisikia kwa Roman Abramovich
tupo na Everton keshokutwa...yaliyopita yameshaisha.Nakuelewa mkuu, binafsi nilikuwa disappointed kwanini hatukulearn from our game vs Liverpool, all in all united match was a big lesson to our young players, nachokiina Arsenal ni inferiority complex kuna disconnection btn instructions and excution, haiwezekani kila game after leading a goal then we sit off.
Badae kutoka lukonga tu sakaKutoka Msangarufu to Lokonga kuanzia leo
Hao wachezaji wenye ubora ndy hao kina lukonga?Kwa mwalimu Arteta Mzee weka heaabu za Nafasi za Europa Mungu akisaidia vinginevyo hata nafasi za Ile ligi Mpya Conference Cup pia hatumo.
Kifupi team haina Mwalimu, kwa ukubwa na ubora wa wachezaji tuliona nao Yule Babu angekuwa anatuning'iniza pale juu na wale miamba.
Bila kukubali kuwa malengo ya kumtegemea Arteta hayatatimia mark time zitaendelea na process itakuwa ya milele.
Aaaah kaka umefatlia kweli mech sita za mwsho man u against arsnal draw tatu arsenal kashnda tatu hii y juzi ndo mmeshinda sas iyo man u kumfunga arsenal ni detail sa lin labdaHehehehe Man Utd imekuwa ikimfunga Arsenal miaka yote bila kujalisha ipo vzr au vby, wewe shikilia msimamo wako kwamba kocha hafai lkn usimkosoe kocha kisa kafungwa na Man Utd team iliyowafunga Villarreal na Atalanta ambazo ni kubwa kuliko Arsenal.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni maoni yako tu which is emotional than logical, hii timu ya Martinelli, Saka & Lokonga itachukua mataji yote.Hiyo inferiority complex ndio maana Roman Abromovich haitaki, anasajili mashine za kubeba UEFA.
Ina maana kweli mashabiki wa Ase8 wa kizazi hiki mtakufa bila kushuhudia timu yenu kubeba UEFA jameni?
Mungu awasaidie ndani ya miaka 30 ijayo angalau mbebe EUROPA.
Ndani ya misimu mitatu iliyopita ya ligi kuu, Manchester united hakuwahi kufanikiwa kuifunga ArsenalHehehehe Man Utd imekuwa ikimfunga Arsenal miaka yote bila kujalisha ipo vzr au vby, wewe shikilia msimamo wako kwamba kocha hafai lkn usimkosoe kocha kisa kafungwa na Man Utd team iliyowafunga Villarreal na Atalanta ambazo ni kubwa kuliko Arsenal.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mimi namsubili aje alete izo detail zakeNdani ya misimu mitatu iliyopita ya ligi kuu, Manchester united hakuwahi kufanikiwa kuifunga Arsenal
Stop your nonsense
Kwanza lazima awe humu kwenye uzi ambae sio wa timu yake?Na mimi namsubili aje alete izo detail zake
nimeweka siti hapa nduguBadae kutoka lukonga tu saka
ndiyo sisiHao wachezaji wenye ubora ndy hao kina lukonga?
Again mkuu, there is a big improvement from Liverpool game.Nakuelewa mkuu, binafsi nilikuwa disappointed kwanini hatukulearn from our game vs Liverpool, all in all united match was a big lesson to our young players, nachokiina Arsenal ni inferiority complex kuna disconnection btn instructions and excution, haiwezekani kila game after leading a goal then we sit off.
Hahahahakilalaheri