Ukiendelea kuiangalia Manyua kwa context ya Arsenal Utafeli vibaya. Infact hakuna yeam hapo, kuna kikundi cha watu wanailupwa vizuri basi. Team ipo Cuty, Fools na Chelsea. Wengine tuendelee kujipa Moyo
After kuscore moja jana tungeweza kuwin ile game 100%percent na tulianza very well problem ni Arteta baada ya kuscore tukabadili style ya uchezaji kwa kuwaruhusu Manchester United waje golini and After that kwa kila fan alijua maumivu yanakuja na yamekuja kweli pale tulipokuwa tukiplay attacking football Manchester United walikuwa wanapata tabu ila kitendo cha kuwaruhusu kuja golini kikatucost Arteta dhidi ya Big games kamwe hajiamini kabisa Shame Arsenal ina kivuli cha coach that's fuc** itUnaweza kumlaumu kocha kumbe uwezo wa wachezaji ni mdogo.
Mbona hii timu inashinda against timu ndogo? Tena kwa magoli mengi + clean sheet.
Inawezekana wachezaji wenu wana uwezo mkubwa against wachezaji timu ndogo ila wana uwezo mdogo against wachezaji wa timu kubwa.
Kijana naona una maumivu makali na Arsenal, kutwa ww ni kulaumu. Kwann uteseke?.Morning my fellow Gunners! Mmeamkaje?najua bado mna maumivu ya kufungwa na tena rival,sisi ambao tunaonekana ni haters kwa maumivu ya jana ni normal thing kwetu!the last time kuona Arsenal has no coach ni kwenye game dhidi ya Brighton and Crystal Palace nkaona hapa tuna players ambao wakiamka good Arsenal will win otherwise wale wachambuz uchwara wa kumtetea Arteta jana mmejionea wenyewe,timu kubwa kama Arsenal why wanapoteza Big games mfululizo dhidi ya Liverpool Manchester City Manchester United Chelsea then unasema bado kuna kocha hapo?nawatakia siku njema my people
Hakufanyi kitu mtu hapa wewe waambie ukweli hawa kima, nimekuwekea ulinzi.After kuscore moja jana tungeweza kuwin ile game 100%percent na tulianza very well problem ni Arteta baada ya kuscore tukabadili style ya uchezaji kwa kuwaruhusu Manchester United waje golini and After that kwa kila fan alijua maumivu yanakuja na yamekuja kweli pale tulipokuwa tukiplay attacking football Manchester United walikuwa wanapata tabu ila kitendo cha kuwaruhusu kuja golini kikatucost Arteta dhidi ya Big games kamwe hajiamini kabisa Shame Arsenal ina kivuli cha coach that's fuc** it
Vichezaji vyao vingi hata sivijui, Lukonga ndio nani huyo, anatokea Ukonga nn
Sent using Jamii Forums mobile app
What do you mean?is this message related to football?Kijana naona una maumivu makali na Arsenal, kutwa ww ni kulaumu. Kwann uteseke?.
Kama unaona Arsenal haikupi furaha unayotaka, achana nayo ufanye au kufuatilia mambo mengine yatakayokupa furaha maishani.
Ingawaje kuna sehemu ndogo natofautina na wewe, lakini kuna mahali nakubaliana na wewe. There are problems with our coach. Kipimo cha timu kufanya vizuri as you always say, is when you get results against teams above you. Bahati mbaya me included, we celebrate and see Arteta as a suitable coach when we win against teams in the relegation zone or mid table teams. See for example, Tavares was losing many balls, pasi azimfikii mlengwa, Why was he not substituted? TK was there. so is Partey, Lokonga was there. Sijawahi kusomea ukocha lakini if what I saw yesterday ndio aliyofundishwa Arteta then there is hole somewhere in his head. Unfortunately yesterday I slept early nilitamani nisikie Ian wright anavyoponda.Morning my fellow Gunners! Mmeamkaje?najua bado mna maumivu ya kufungwa na tena rival,sisi ambao tunaonekana ni haters kwa maumivu ya jana ni normal thing kwetu!the last time kuona Arsenal has no coach ni kwenye game dhidi ya Brighton and Crystal Palace nkaona hapa tuna players ambao wakiamka good Arsenal will win otherwise wale wachambuz uchwara wa kumtetea Arteta jana mmejionea wenyewe,timu kubwa kama Arsenal why wanapoteza Big games mfululizo dhidi ya Liverpool Manchester City Manchester United Chelsea then unasema bado kuna kocha hapo?nawatakia siku njema my people
Kweli kabisa, yaani kwa hiki kikosi cha dunia bila ya ungese wa kocha aliyeondoka tulipaswa muda huu tuwe tunaongoza ligi.Manchester united iko vizuri kuliko timu yoyote pale England ukitoa Man City, ni upuuzi wa kocha tu ndio umetufikisha hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mm najishangaa kuishabikia timu ya kichezaji kama kileKama kile ki Nkethia, hivi yule ni mchezaji wa kuifunga Man Utd?