Daah naomba tuendelee kupigwa hivi hivi hadi tushuke daraja
Hauwezi ukawa mwekezaji wa arsenal upo serious kumpa Arteta team from nowhere na hana rekodi yeyote ya mafanikio kama kocha wa mpira, na kila siku tumekuwa tukisajili mediocre players
Jamani kama mlivyo Fanya kuchagua kuishabikia Arsenal sio dhambi,kosa la madai au kosa la jinai kuitelekeza hii sio ya baba yenu ,tafuteni team nyingine zipo 19 EPL usiwe Kupe .