Naam nilidhani mvua itanyesha maana hii mechi ni muhimu sana kwa L'pool katika mbio za dhidi ya MANU. Na kwa kujua kwamba tuna majeruhi wengi basi wangeamua kutuletea mvua kubwa. Ha ha ha leo SAF, Wacheza na wapenzi wote wa MANU wanaishangilia timu yetu. SAF katoa BIG G yake huku akiifuatilia mechi kwa makini sana.