Arsenal's half time talk will basically be "win this game or you'll be hearing about Lamela's goal forever. Turn it into a pub quiz answer and nothing else."
Absolutely class performance except for the last 15 minutes where we forgot how to use our legs. It’s just really really great supporting a team that looks like it knows how to play football again.
Spurs wamepata red imekua somo zuri kwa sisi ambao tukipata red automatically inakua death sentence.
Baada ya red spurs ikaamua kwamba it's half or nothing. Nimeikubali spirit yao.
Nilisema anastahili Pepe kuanza na Lacazette. Tunajua nini kimetokea baada ya uwepo wa Pepe, Pepe alitakiwa awepo from minute one.
Tatizo la timu kutokua na mawasiliano bado linaendelea. Timu inapoteza sana mipira hata ambapo kuna wachezaji 3.
Three players: Xhaka was immense today, did so much dirty work Lacazette was superb, looked like a tactical big move, he was immense ESR. What. A. Player. Pires like impact. So compact, efficient, and elite. What a day for Arsenal.
utofauti kati ya mchezo wa leo na ule wa Desemba dhidi ya Tottenham. ,michezo yote Tulikuwa na mpira mwingi , lakini Odegaard na ESR ndio wameongeza kitu tofauti leo katika kutengeneza nafasi.
Jose ni nyoko, anauliza kuna post match interview kwa marefa? anasema inawezekana marefa nao wanachoka. Kevin Friend alimwambia Michael Oliver aende kuangalia lile tukio kwenye monitor Oliver akakataa, kwa kusema nilikuwa karibu na nimeona kilichotokea. spotkick