Spurs wana Lamela na Moura two guys wanaoweza amua kutoboa katikati ya watu na wakafanya hivyo.
Arsenal tuna Pepe ila yupo nje. Tuna Odegaard ila amefichwa.
Kwa ushauri wa George 'kiwango' kipo pasted na hapa. Back passes, sideway passes na krosi. Kisha Lamela anascore kwa rabona.
Unasawazisha kisha unaanza same routine.