OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Yani hii timu bwana, eti Willian alipoulizwa umekuja Arse8 kufanya nini ..badala aseme tu ukweli kuchukua pensheni et akadai kuja kuisaidia Arse8 kubeba makombeUmalize na taji gani?
Labda Taji Liundi!
LEEDS amekula bao 4, wewe ulikula 3 kutoka kwa watoto kina sakaSasa wewe utawaweza Leeds united? Umeona Mendy kipa bora kabisa kiwahi kutokea alivyotubeba? Leno angeweza? Leo mnakufa ngapi? Mwara ya mwisho kumfunga Mourinho ilikiwa lini? Yani Mou hata akifundisha Yanga, mkikutananayo lazima awachape tu
Unampoga nani wewe wakati takataka mwenzako anakwambia huu msimu mutabeba europaNdio maana tunawapigaga kwa kuchongoa huku
utabeba wewe, kila msimu sasa hivi lazima nitoke na kombe , NYIE ng'ombe endeleeni kulialiaHahahahaha eti uko busy unataka kubeba Europaacha kuota wewe hili ndo tatizo la kushiba dona la maharage
wewe akili zako si nzima, umeshasahau KICHAPO cha bao 3Unampoga nani wewe wakati takataka mwenzako anakwambia huu msimu mutabeba europa
Najua hata wewe ukiona hiyo comment utaishia kucheka tu.
Unamkumbuka vzr alichowafanyaLeo ni Auba ama Aibu
Hamna kitu huyu sasa hiviMikel Arteta and Edu have made it clear that if Antoine Griezmann chooses to leave Barça this summer, they will be waiting for him in North London with open arms.[Diario Sport]
https://www.facebook.com/mery.kabwa?__cft__[0]=AZWn6l3qlgDhvkL6LxF5NdaDOW4OVbh2TZFYW9I2as-OneK-bQrLyHz7FaNFmZagZG-HgZi5P6EcVfVXBjGqVINYq_3GDXmmSRQOfuAvlJfThF2Pgun5gTJJEtyLJ1jg992tHZt0G5jNGr_Wo8RMdpPqG-a3f5_NHQ4QL6LECVVC7A&tn=<<,P-R
Mkuu, ni kwema kabisa.... Nipo location ambayo network ni mizinguo ila nikipata nafasi huwa nachungulia humu.... Pamoja sanaaaaaaaaaaadully maslahi kwema ndugu
Sasa Europa nani wakutufunga? naungana naye Europa inakuja Emirates, hatulali njaa mzee kama nyieUnampoga nani wewe wakati takataka mwenzako anakwambia huu msimu mutabeba europa
Najua hata wewe ukiona hiyo comment utaishia kucheka tu.