Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Bob uko sahihi kusema hizi ni tests kwake.Upo sahihi ila maana yangu hizi mechi akichukua point 3 kwa kila opponents except liverpool tukipata hata sare basi tupe katika mbio za ubingwa kwa asilimia 75 %
#Trust the process I believe in Arteta atafanya maajabu huu msimu
Mimi nashauri Kepa aachwe aendelee na majukumu ya ukocha tu kumchanganyia na majukumu ya kudaka ni kumchosha.TAKATAKA kama TAKATAKA naona mnapeana udaku
Mwambieni Arteta nishazoea vikombe. Hata hiki kisiachweArteta on the Carabao Cup:
"We are going to take it seriously, thats for sure. Obviously with the fixtures we have, the number of games, its very difficult, but we have to go day by day, lets see what position we're in to try & put out the strongest possible team to try & win it"
Vikombe vimeshakua kawaida na asil yetu 😆😆😆Mwambieni Arteta nishazoea vikombe. Hata hiki kisiachwe
Timu za kupakiwa basi ni city na Liverpool tu mkuu,timu nyingne Kama nyumbu na Tottenham ni kuzishambulia mwanzo mwisho mpaka wajue hawajui.Bob uko sahihi kusema hizi ni tests kwake.
Wanaosema hajaribiwi ni furaha na imani ya kishabiki.
Wote tuna imani naye
Nilisema "Timu ndogo zipigwe, kubwa zipakiwe basi."
Naona kitu ambacho Pep alimwambia Arteta ,ni kutodharau kikombe chochoteArteta on Carabao Cup: We will take it seriously
Hivi kumbe baada ya hii kuna break ndio tunacheza na Liverpool?nadhani kwa kuwa baada ya hii mechi kuna international break, Arteta atapanga stronger team with a mixture of younger team. Najua Leicester will do the same
yesHivi kumbe baada ya hii kuna break ndio tunacheza na Liverpool?
No, sorry, nimekosea Jumatatu28/09 ndio tunacheza na Liverpool
Hapo ulipo ukihema tu mavi yanatoka, baada ya rinda kutatuliwa juzi,Hii nayo ni TAKATAKA kama TAKATAKA tu
Timu ina madaktari feki. Watu wakipata majeraha hawaponi tukisajili tunaambiwa eti hawako fiti mbona Liva Thiago kaanza hapo hapo. Lampard alidhamiria tufungwe.We TAKATAKA aka SHOGA kama SHOGA subiri kipigo chako siku ya Jumatatu
Kama huamini VUTA PUMZI KWA NGUVU KISHA ACHIA uoneWe TAKATAKA aka SHOGA kama SHOGA subiri kipigo chako siku ya Jumatatu
Hebu ona tumetumia paundi milioni135 kwa ajili ya Havertz na Werner lakini hawajapata hata goli moja wala assisst maajabu yake assisst anatoa Kepa. Hivi hatujapigwa kweli hapa? Uliona lile shuti alilopiga Werner? Lile si shuti la kike lile? Na akapiga njeHii yote uliyo andika ni TAKATAKA kama TAKATAKA tu