Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Lucas anakaribia sana kuondoka ,Kolasinac, lucas, sokratic wauzwe
Mustafi hata akienda bure sawa eeh??Kolasinac, lucas, sokratic wauzwe
Haťa mustafi auzwe, saliba, rob n@ luiz wapoMustafi hata akienda bure sawa eeh??
Ssa na wao wanasublia nn had ssa hv c waondkKolasinac, lucas, sokratic wauzwe
Ssa na wao wanasublia nn had ssa hv c waondk
duuu dully kuwa na shukran ata kwa kile kidogo pamja na maboko yake lazima auzwe tu so kwenda bureHaťa mustafi auzwe, saliba, rob n@ luiz wapo
hili likitimia naiona arsenal ikienda kuchukua epl ya 14Aouar au Partey au wote wanakuja
Arteta hataki utani kabisa
Ni mwendo wa Quality players tu
Arsenal are open to selling Torriera in order to fund a move for other midfield targets and free up squad space for arrivals...[emoji102]View attachment 1570398
mkuu, wapi ambapo nimeonesha kutokuwa na shukrani na Mustafi mbona suala lipo wazi kabisa kuwa inabidi wawepo wa kuondoka ili wengine waje,duuu dully kuwa na shukran ata kwa kile kidogo pamja na maboko yake lazima auzwe tu so kwenda bure
kati ya wachezaji ninaowapenda sana lakini sina budi kumuunga mkono Mikel maana yeye ndio Mussa wetu kwa sasaAouar au Partey au wote wanakuja
Arteta hataki utani kabisa
Ni mwendo wa Quality players tu
Arsenal are open to selling Torriera in order to fund a move for other midfield targets and free up squad space for arrivals...[emoji102]View attachment 1570398
Hata Mimi aisee , Toreira mwamba wa Uruguay ,kati ya wachezaji ninaowapenda sana lakini sina budi kumuunga mkono Mikel maana yeye ndio Mussa wetu kwa sasa
Wangemalizana kwanza na DeadwoodsAccording to reports, Arsenal will offer Alexandre Lacazette a two-year extension as club manager Mikel Arteta wants him to stay next to Pierre-Emerick Aubameyang. #afc
Deadwoods karibu wote wapo karibuni kuondokaWangemalizana kwanza na Deadwoods
Mshahara itakuwa Mziki
Wale sio manansi ya Kariakoo au Morison wa Simba, wana mikataba yao ndio inayowaweka hapoSsa na wao wanasublia nn had ssa hv c waondk