Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Tayari ameshajiunga ,Ile deal ya Emi kuuzwa imefikia wapi Aaron Arsenal ?
Arsenal wameachana na RayaKuna makipa wana thamani.
Raya ni goalkeeper of the year kwa 2020 kwenye ligi ya championship.
Alifanya 16 clean sheets.
Arsenal wameachana na Raya ,£10m ni pesa nyingi sana kwa golikipa namba mbili tena kutoka Brentford,hapo ilibidi watoe £1m au £2m ili pesa zingine tuziallocate kwa Aouar.
Hayo mawazo ndio wanayo Arsenal£10m ni pesa nyingi sana kwa golikipa namba mbili tena kutoka Brentford,hapo ilibidi watoe £1m au £2m ili pesa zingine tuziallocate kwa Aouar.
Nadhani kipa wa mwisho mzuri kwenye penalty alikuwa Jens Lehman.Akiwa mtaalamu wa penalty itakuwa poa zaidi,tumekosa mtu wa hivyo kwa kipindi kirefu sasa
Hata fabianski alikuwa mzuri sana kwenye penaltyNadhani kipa wa mwisho mzuri kwenye penalty alikuwa Jens Lehman.
Ni sahihi, nilimsahau kijana wetu aisee kuna FA CUP kadhaa alitutoa kimaso maso.Hata fabianski alikuwa mzuri sana kwenye penalty
Huyu jamaa alitushindia FA Cup 2014 ila alikuwa mwishoni mwa mkataba. Msimu uliofuata akaenda Swansea kuwa kipa #1. Sasa kwa Emi tumeweza kupata hela.Ni sahihi, nilimsahau kijana wetu aisee kuna FA CUP kadhaa alitutoa kimaso maso.