Yaani ukiacha hiyo positioning ya players, goli alilofunga jana Auba na lile aliwafunga Liver kwenye Community Shield hadi pasi aliyotoa Saka na Willian zinafanana na jinsi Auba alivyo pokea mpira na kudribble kabla ya kuscore na pia angle goli lilipo ingilia, almost kila kitu kina fanana.The sign of a well coached team is one that scores goals almost identical to each other.
Zoom out a bit and you'll find Niles and Tierney in the same positions
Love how Arteta has Ainsley running up through the middle like Ramsey on speed and Tierney storming down the left hand side from his centreback(!),
this gives Auba so much freedom. Play the ball to Tierney whos made the run or attack the defenders whos already focused on Ainsley.View attachment 1568191View attachment 1568192
Yaan sio coincidence ,Yaani ukiacha hiyo positioning ya players, goli alilofunga jana Auba na lile aliwafunga Liver kwenye Community Shield hadi pasi aliyotoa Saka na Willian zinafanana na jinsi Auba alivyo pokea mpira na kudribble kabla ya kuscore na pia angle goli lilipo ingilia, almost kila kitu kina fanana.
Ni ushuzi kweli kweli, wenzio umeshawanukia tayari; bado zamu yako.Ushuziii
Leeds wanaupiga mwingi sana. Liver waliokolewa na Penati ya dakika za majeruhi...Mm game ya leads cja hianglia mnatk kuniambia wap vzur kulik fullham?
Hao watoto wanaumia vile willian borges anavyotoa maasisst[emoji23][emoji23][emoji23]Hawa kenge hawatakiwi kujibiwa kabisa , tulikubaliana humu tuwaache, ukimjibu anapata bichwa
Waliponda kwamba Willian kaja kustaafu Arsenal, ila kwa jana alivo kiwasha sijaona hata mmoja anayemzungumzia. Ollachuga Oc leo ndio katokezea, jana alikuwa kajipiga ban.Hao watoto wanaumia vile willian borges anavyotoa maasisst[emoji23][emoji23][emoji23]
Willian amna kitu umo..ila anataka kubaki London na timu ha kukimbilia ndo hii arsenal.Waliponda kwamba Willian kaja kustaafu Arsenal, ila kwa jana alivo kiwasha sijaona hata mmoja anayemzungumzia. Ollachuga Oc leo ndio katokezea, jana alikuwa kajipiga ban.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo sio muandiko wako, mbona unajibu kinyonge hivyo?!Willian amna kitu umo..ila anataka kubaki London na timu ha kukimbilia ndo hii arsenal.
Hivi amna club inamtaka mustafi kweli??With Rob Holding staying surly it means Sokratis and Chambers will/must be sold. Sokratis will go to Italy and hopefully Fulham come in for again for Chambers.
Luiz
Gabriel
Saliba
Mustafi
Marí
Jioneeni huruma wenyewe maana hali zenu mnazijua.Tukikutana na Leeds tujipange. Wako vizuri.
Liva imeruhusu magoli 3 tayari. Na ni mapema tu ligi haijafika mbali na kikosi hakijachoka.
Wakikutana na Chelsea itakuaje?
Tukikutana na Leeds itakuaje?
Ile deal ya Emi kuuzwa imefikia wapi Aaron Arsenal ?
Uyo atawapa backup tu ila hataleta impact yeyote. Willian Sisi tunamjua bwana 😎😎😎[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo sio muandiko wako, mbona unajibu kinyonge hivyo?!
£10m ni pesa nyingi sana kwa golikipa namba mbili tena kutoka Brentford,hapo ilibidi watoe £1m au £2m ili pesa zingine tuziallocate kwa Aouar.Anafanyiwa vipimo leo na Arsenal jana jioni walikubali pauni 16 milioni kutoka Aston Villa.
Atakuwa ndo kipa namba 1 wa Villa.
Kisha Arsenal leo wameweka mezani offe ya 10 milioni kwa Brentford kumsajili kipa wa kihispania David Raya ambae atakuwa ni namba 2.
£10m ni pesa nyingi sana kwa golikipa namba mbili tena kutoka Brentford,hapo ilibidi watoe £1m au £2m ili pesa zingine tuziallocate kwa Aouar.