No matter what,Arsenal is my favourite and the best...... we would love to win some trophies,but if we don't.....its not the end of the world.
We wil shine and yes we can surprise the world by winning against Barcelona,Go Go Arsenal,some day we will have the consistency in winning!
Karibu sana Michelle katika kijiwe chetu hiki tukufu cha wana GUNNERS...chama yetu hapa jukwaani inazidi kuwa kubwa....Siye wana GUNNERS ni wastaarabu sana maana tuna kawaida ya kuwapongeza wale mahasimu wote wanaposhinda kinyume na wao ingawaje siku hizi za karibuni na wao wameanza ustaarabu wa kutupongeza kila tunaposhinda. Pia hujumuika hapa hata kama tumeshindwa ili kujiliwaza kwa namna moja au nyingine tofauti na wenzetu ambao huvikimbia vijiwe vyao hahahahahahah....Itakuwa raha sana kesho kama wale Spurs wakiwapiga tundu SAF na vijana wake
Tumepeta ugenini jama. Big up Gunners!
We have been doing Great UGENINI kuliko Home.......But I hope that will change......RVP looks sharp and Strong....Walcott is stepping up...Nasri ndo anakamua Mbaya......Verminator bado inasubiriwa last Scan......When he is Back then hizi Clean sheets zitakuwa Bwena........GUNNERS 4 LIFE
Kweli mkuu ugenini tuawaka zaidi ya home. Ngoja tuone next jumanne tunakutana na Ipswich nione itakuwaje home!
...together we stand wakuu! ...Sasa dua zetu tuzielekeze asajiliwe CB wa maana mpaka T5 ataporudi msimu ujao.
Candidates so far;
From Matthew Upson to Gary Cahill: Top Arsenal transfer targets
With Arsene Wenger confirming he will use the January transfer window to find cover for the injured Thomas Vermaelen, we take a look at Arsenal's top five transfer targets.
...pia anatajwa Lescott, Samba, na jamaa mmoja wa Ajax...
kwa mechi zilizosalia ni bora tu asajiliwe mwenye uzoefu wa EPL,...
sina imani na mchezaji anayehitaji ku adapt na EPL for the next 3 months!
To me Gary Cahill is the Best option than Upson...we had this Man in Old Days back at Highbury.....Hakupata enough play time as he wanted akamove......He is not Good enough...But he is Good.....Gary cahill is better than Squ and Kos.....
Naona mnamfukuzisha kazi Myahudi wa watu....
Naona mnamfukuzisha kazi Myahudi wa watu....
Hiki kikosi kizuri sana sema kina kosa support kutoka kwa wale wengine wanaotoka bench wanachemka sana kwenye carling cup na fa cup.Inabidi wa improve hili waweze kuwapunguzia mzigo wengine.
Safi sana wakuu tutaendelea kupigana mpaka dakika za mwisho.weekend njema wote.
Wengine presha zetu ni zile za enzi za kina Dilunga na Sabu hivyo tunaingia kioga oga lakini ni Chama tu!Karibu sana Michelle katika kijiwe chetu hiki tukufu cha wana GUNNERS...chama yetu hapa jukwaani inazidi kuwa kubwa....Siye wana GUNNERS ni wastaarabu sana maana tuna kawaida ya kuwapongeza wale mahasimu wote wanaposhinda kinyume na wao ingawaje siku hizi za karibuni na wao wameanza ustaarabu wa kutupongeza kila tunaposhinda. Pia hujumuika hapa hata kama tumeshindwa ili kujiliwaza kwa namna moja au nyingine tofauti na wenzetu ambao huvikimbia vijiwe vyao hahahahahahah....Itakuwa raha sana kesho kama wale Spurs wakiwapiga tundu SAF na vijana wake