Hawa jamaaa waliwai kuridisha goli mbili nakumbuka hiyo mechi nilichukia sana . Asernal inabidi tusichezee chance tunazopata .
Van parsie naona anazidi kuwa fit.
Goli nyingine mbili au tatu itakuwa powa . Au mnasemaje washika bunduki ?

Teh teh teh
sitasahau ile game...tena alierudisha la pili alikua Carlton Cole ambae na Leo kaanza.........Ila I dont Think kama t will happen...dho kwenye game ya T'ham hili lilijirudia tena katika hali mbaya zaidi....hakuna haja ya Kuelezea wote tunajua Kilichotokea......
i believe arsernal they can make wonderz this nite people untill nw we have beat them one null i believe untill the match end we have arleady kick them 4 - 0 so arsenal we never loose our hope