hiko hivi, Gabriel hawezi kufanyiwa medical test pale England kwa sababu England wana sheria zinazowabana wageni wanaongia kutoka Ufaransa kuwekwa quarantine kwa siku14. Therefore if the medical test has to be done, it will be carried out in France but still he will be quarantined for 14 days on his arrival in uingereza
Wanaume tunajadili ujio wa beki kitasa Gabriel Margahles, wewe unajipitisha na khanga moja iliyolowa maji,huku ukitingisha wowowo kama mlivyo CHELTYAKO(in lembu's voice)
Una lengo gani wewe?
Wanaume tunajadili ujio wa beki kitasa Gabriel Margahles, wewe unajipitisha na khanga moja iliyolowa maji,huku ukitingisha wowowo kama mlivyo CHELTYAKO(in lembu's voice)
Una lengo gani wewe?
Hivi tulishindwaje kwa Upamecao ....Maana jamaa anajua sana, nimemuona kwenye game ya Leipzig vs PSG. Sina uhakika wa huyu Gabriel Malagharous kama anamzidi Upamecao.