Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
IPO hii Article yote , kuipata unainunuaDavid Ornstein
@David_Ornstein
Why has Raul Sanllehi left Arsenal?
How will be replaced?
What is Tim Lewis role in this?
Transfer/contract impact?
Where does it leave Arteta?
How about Edu + Venkatesham? With
@gunnerblog
Ndio maana Arteta hataki hao kina GuendouzNapenda ule ubishi wake dizaini kama viungo wa Liverpool na ndo Arsenal anaukosa viungo wetu wanakuwa laini sana kama sijui wakina Matteo Guendoz.
Douglas Costa to United means no Sancho and no swap deal for Lacazette!Hata Lacca nisingependa auzwe kwa kweli.
If deal la Gabriel Magalhaes likitiki means tutakuwa na 8 Centre backs Mustafi, Luiz, Gabriel, Saliba,Sokratis, Holding, Mari na Chambers kikawaida hapo lazima wawili wasepe na situation ilivyo ni kati ya Holding, Sokratis na Chambers!Kwa nini Holding na Chambers waondoke? Mbona bado wadogo hao. Nakubali Sokratis, Kolasinac inabidi wasepe lakini Saliba is unproven kwa hiyo hatuwezi kumpa 100% kuwa atafaulu uingereza.
Duh, official hii au bado ni tetesiDouglas Costa to United means no Sancho and no swap deal for Lacazette!
Huyu Holding na mwenzie Chambers watolewe kwa mkopo wakati Sead na Sokratis wakiuzwaIf deal la Gabriel Magalhaes likitiki means tutakuwa na 8 Centre backs Mustafi, Luiz, Gabriel, Saliba,Sokratis, Holding, Mari na Chambers kikawaida hapo lazima wawili wasepe na situation ilivyo ni kati ya Holding, Sokratis na Chambers!
Tetes kutoka Sky ItalyDuh, official hii au bado ni tetesi
Labda mchukue kikombe cha chaiOyaa mbona hamsajilii utadhani mna wachezaji wa maana mtashuka daraja vilaza nyiee.. Akati Man u msimu ujao kombee letu
Labda mchukue kikombe cha chai
Halafu manyumbu bhana, mnaongea hivyo kama mmesajili.. Hebu taja usajili wako uliofanya.
Nyie nafasi yenu msimu huu ni kugombania kutoshuka daraja maana kikosi chenu chote ni kibovu! Yani mnatakiwa mfumue kikosi kizima na msajili wachezaji wapya wote ili msishuke daraja
Usijifananishe na Barcelona mbu wewe!Kama Barcelona wana Kikosi kibovu sisi nani babaa...!!
OFFICIAL: The Community Shield will take place on Saturday August 29th.
Liverpool will face Chelsea.
ENGLISH_PREMIER_LEAGUE_updateView attachment 1521355
I believe uHamuwezi kushinda mchezo huo, believe me.
FRANSISCO ZOLAHuku mbona kuko hivi?? Hata msiba bado mushaanza kuomboleza
Dah yani munatia huruma na mechi bado hahaha
Khabari mbaya ni Kwamba Kante na Willian mnayemuhusudu watakuwepo kugawa kichapo kitakatifu kwenye hii takataka ..
Sisi tunajitahidi kuleta heshima London ninyi munazidi kuishusha..
Mtu kama Arteta siyo wa kuifundisha hichi kitimu..peleka arteta championship uko akapate uzoefu..
Leo naona mvua ya magoli maeneo haya..maana jukwaa lenu mumelitenga kazi kupiga domo kwenye jukwaa la wanaume uku mkipita na kanga moja iliyolowa maji..
#CFC
Kaka huku hatuli KIMASIHARAOyaa mbona hamsajilii utadhani mna wachezaji wa maana mtashuka daraja vilaza nyiee.. Akati Man u msimu ujao kombee letu