Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kuna wanaoondoka ,Tetes zinadokeza kolasinak , Holding , chambers ,SokratisMbona naona Arsenal itakuwa na mabeki wengi mno?
Kuna wanaoondoka ,Tetes zinadokeza kolasinak , Holding , chambers ,Sokratis
Pia Pablo mari na mustafi ni majeruhi kwasasa
So tunabaki na CB wanaoanza ligi SALIBA ,LUIZ ,Holding hawa wa uhakika
So usajiri wa beki mpya haukwepeki hasa LCB maana Arteta anahitaji aanze ligi akitumia 4-3-3
Klabu inahitaji Ku rise fundKwa nini Holding na Chambers waondoke? Mbona bado wadogo hao. Nakubali Sokratis, Kolasinac inabidi wasepe lakini Saliba is unproven kwa hiyo hatuwezi kumpa 100% kuwa atafaulu uingereza.
Hata Lacca nisingependa auzwe kwa kweli.Klabu inahitaji Ku rise fund
So Fulham wanamuhitaji chambers ambaye ni injury prone
Kwa holding nakubali hata mm sipend aondoke ,
Na sioni akiondoka labda ije ofa nzuri
We are so lucky to have Arteta at the club. Single handedly pulling Aouar to Arsenal. Without him it would be almost impossiblehoussem aouar uchezaji wake kama Arteta enzi zake.
Napenda ule ubishi wake dizaini kama viungo wa Liverpool na ndo Arsenal anaukosa viungo wetu wanakuwa laini sana kama sijui wakina Matteo Guendoz.We are so lucky to have Arteta at the club. Single handedly pulling Aouar to Arsenal. Without him it would be almost impossible
Need to wait for Lyon's CL campaign to end
In the meanwhile, let's enjoy Gabriel and Partey's imminent arrivals