Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mimi namtaka huyu Partey amrahisishie Xhaka kazi, tukiwa na viungo wa hivi ht Ozil hatutomcriticize na wala hatutoona km umri umemtupa.
 
| Breaking from @EsportsRAC1: Arsenal and Barcelona in discussions for the loan of Phillipe Coutinho! The two clubs will share the player’s salary!
 
Real Madrid very happy with how Dani Ceballos season at Arsenal has been and are willing to let Dani Ceballos join Arsenal on another season loan.
 
Fabregas predicts on Saturday game
Say that "Chelsea basically every year has won a trophy so it's different animal in this case"

"Arsenal needs it more and confidence for the next season and getting Europe league"

"Chelsea are in champions league and Arsenal has nothing at moment
 
Willian awezi kuja kwenye team yenu ya utopolo mta muoffer niniambacho Chelsea ajapata? labda Barcelona
 
Gwajima ametabiri katika mechi ya jumamosi, kwa kusema kwamba.... "Arsenal kimsingi ni timu kubwa London, na linapokuja suala la FA CUP wanakuwa ni kama faru waliojeruhiwa, ukizingatia wao ndio wanashikilia rekodi ya kubeba kombe hilo kuliko takataka yoyote duniani, hivyo hao wanaokutana nao wajiandae kisaikolojia"
 
Huyo gwajima unayemwamini kwa kila kitu huyo ndiye atakaye hudhuria mazishi ya Asernal kesho.
 
ARSENAL & BARCA TO AGREE GUENDOUZI-COUTINHO SWAP DEAL?

Barcelona have offered Philippe Coutinho to Arsenal and Tottenham in a renewed attempt to offload the Brazilian, according to the Independent.

The Catalans are keen to push through a sale for one of their high earners, who is surplus to requirements at Camp Nou.

And the report claims that, of the two Premier League clubs, Arsenal are the most likely to land the former Liverpool star, with Matteo Guendouzi potentially being offered as a makeweight.

The Liga side would also receive £9 million ($12m) from the Gunners, with Coutinho heading in the opposite direction.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…