Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Hela si tatizo, Akitaka hata 350k atapewaAuba anataka mshahara mkubwa au makombe?
Kama ni mshahara Mpeni mkataba wa miaka 3 kwa mshahara wa 400,000 kwa wiki atatulia
Kama ni makombe fanyeni biashara ya kumuuza.
Kwa maelezo ya Arteta ,Auba anataka kuwa valued ndan ya klabuHuyo atamwaga wino naamini hilo. Anatingisha kiberiti hana ujanja wa kuondoka hapo. Madrid wenyewe hawaeleweki kila mchezaji wanamtaka.
Sikupenda kabisa tuanze game na hawa jamaa ikiwa tuna three months hatujaplay competitive game ila ni advantage kwa timu zote 2 wote wana muda mrefu hawajacheza game toughOn the Zoom call with Mikel Arteta (!) for his pre-Man City press conference.
- Says he is "pretty positive" Aubameyang will stay...
- ...but it is the club's "responsibility to make him feel this is the right next step in his career."
- No fitness issues ahead of City gameView attachment 1479846
Kama yupo Drinkbeer tuuzie...Oyaa tuna vichwa vya kuuzwa maana nyie zoa zoa kule tuna Drinkwater, Batshwayi, Moses mtatoa ngapi. Acheni ubahili chukueni vichwa ivyo..vina spirit ya kutupia magoli na kubeba makombe ..msimu ujao ubingwa wenu...
#CFC
Will Jr unakumbuka juzi kati tuliongea kuhusu Auba?nkakwambia huyu jamaa lazima atasepa tu msimu ukiisha sababu anajua hana cha kupoteza leo kaja na kauli hii Tujiandae kwa lolote wachezaji wa south America na Africa hawaaminikiView attachment 1479774
Mimi nimesema Auba chance ya kuondoka ni asilimia 70 na kubaki ni 30,mpaka leo hajasign anasubiri msimu uishe akae mezani na viongozi ataje matakwa yake na vitu vyote anavyotaka na viongozi wakikubali atabaki anaweza kusema anataka 400k je tuna uwezo wa kumlipa?hii saga na ya RVP zinafanana kabisa na hamna utofautiUnaleta story za mitaani, Auba is there to stay
Sisi wote tunataka Aubameyang abaki he is our hero akiondoka nani wa kufunga magoli? Sema kauli yake ,ya Arteta zinanipa sana ukakasi na wachezaji wa south America na Africa hawaaminiki kamwe ona Coutinho ,Suarez ,Neymar,Adebayor wapo wengi sana wote hawa walisaliti timu na kuhama bila kutegemeaAuba kubaki ni 70% na kuondoka ni 30%. Believe that