Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Munao.....sasa mlikata rufaa ili iweje?????tatizo bado hivi vilabu vyetu havina ushawishi kwa wachezaji.....Hatuna mpango wa kusajili dirisha hili.
Sent using Cash Money Wings
Kaka naona unatania mtu hadi anacheza na Ronaldo Portugal halafu unasema hapati namba SOUTHAMPTON?kama angekuwa hapati namba kwenye club unafikiri huko ureno angeitwaje?Huyu cedric hata pale southjampton hapati namba sasa atasaidia nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni majeruhi yamemfanya awe nje kwa muda na kukosa game time ya kutosha. Kama ata-recover vizuri atakua msaada sana.Huyu cedric hata pale southjampton hapati namba sasa atasaidia nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika na ukisemacho?Huyu cedric hata pale southjampton hapati namba sasa atasaidia nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu sio injury prone ,Huu usajili wa Cedric unanikumbusha Matthew Derbuchy aiseeeeeh Mungu atuepushie mbali......
Sent using Jamii Forums mobile app
Nan alimuweka benchi?Huyu cedric hata pale southjampton hapati namba sasa atasaidia nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mnafunga usajiri bila kununua ,sasa mlikata rufaa ya niniCedric amehama AMANA HOSP (South), amehamishiwa MUHIMBILI HOSP (Arsenal). Hope atapona kwa wiki hizo 3. Atarudi uwanjani kuitumikia Arsenal.
Hongereni kwa usajili
Sent using Cash Money Wings