Arsenal (The Gunners) | Special Thread

HII COMMENT NILIANDIKA KWA HERUFI NDOGO ILA NILIULIZA SWALI HALIKUJIBIWA ILA TUANGALIE TAKWIMU ZA ARTETA NA ANCELLOTI MAANA WALIANZA KWA PAMOJA ARSENAL NI TIMU KUBWA NA EVERTON NI TIMU YA KAWAIDA (TUENDELEE KUTAFAKARI)

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu tumia herufi ndogo,

umeangalia mpira? Huoni some improvements? Arteta anaipeleka timu kwenye njia sahihi. Ni kweli bado timu inafanya makosa kwenye umaliziaji, ila muda ni muhimu ukizingatia tulipotoka.

Mbona City kadraw na Palace kwao? Hatupo kwenye form nzuri kwa sasa ila unapolalamika hata kwa mabadiliko yanayoendelea unachekesha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdau hataki maswala ya improvements anahitaji tuwe nyuma ya liva pale tunampumulia
 
Mko vizuri mmelazimisha sare na team ya saba ,kwa kweli mnahitaji pongezi ,pia nyinyi wavumilivu sana .
 
Nadhani bodi ndio iwajibike kwa kufeli,Kitu kingine nashangaa Kwanini wanashidwa kurecruit new players wakati jahazi linazama asee,.
Mtu unajiuliza Directors haya hawayaoni.??Hawa wana discourage hata juhudi za mwalimu.Toka naijua Arsenal sijawahi kuiona kwenye Position hiyo
 
Mdau hataki maswala ya improvements anahitaji tuwe nyuma ya liva pale tunampumulia
Hii timu ilikuwa inapigiwa shots 18 mechi moja. Pasi 10 kupiga ilikuwa mtihani, Xhaka anatukanana na mashabiki, Lt11 anataka kuondoka. It was worse under Emery.

Hii mechi ya leo na ile ya C.Palace tumepata suluhu kwa deflected shots za wapinzani zilizozaa magoli, Overall timu imepunguza makosa sana kwa beki, Ukizingatia wing backs zetu ni Shaka/Maitland...

Bado tunashindwa kumaliza game pale Tunapokuwa tunaongoza goli moja. Na hili naamini Arteta anafanyia kazi. Soon tutaanza kuwa consistent tu.

Namkubali sana Arteta kwa alipotufikisha so far.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMPROVEMENT?MECHI 6 TUMESHINDA 1?AU SIJAKUELEWA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ARSENAL HII YA ARTETA NA YA UNAI TOFAUTI KUBWA KUWA SASA HIVI TUNAMILIKI MPIRA NA KUPIGIWA SHOTS CHACHE ILA MATOKEO NI YALE YALE INGEKUWA TUNASHINDA NDO UNGESEMA KUNA IMPROVEMENT TENA USIJE PAYUKA HIVI MBELE YA WAPINZANI WETU

HALAFU USIRUDIE TENA KUSEMA ETI MBONA MAN CITY IMETOA DROO UNACHEKESHA HII MANCITY ILIYOFUNGA GOLI 64 NA ARSENAL GOLI 30 HADI SASA UNATAKA KUZILINGANISHA?MMOJA ANAWAZA MAKOMBE MAKUBWA SISI HATUNA DIRECTION YA MAKOMBE NA TUNACHUNGULIA CHAMPIONSHIP HALAFU UNAZILINGANISHA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…