Magazine Fire
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 1,364
- 1,475
Huyu tumchunie tu mkuu. Hakuna haja ya kujibu michango yake kama tu mwandiko hataki kubadili.Hawezi kukuelewa!.. Yaani hata hajifikirii jukwaa lote hili hakuna anayempa sapoti!.. Uungwana ni vitendo, watu wamepiga kelele hapa aandike kwa herufi ndogo maana maherufi makubwa yanakera lakini kagoma! Sasa phycologically huyu ni ana matatizo kichwani!.. Mimi nilianza kumpuuza baada ya kukataa kubadili kitu kidogo tu kama maandishi, nikagundua huyu hashauliki, hataki kuonekana hajui!.. Mimi huwa sijibu au kuchangia post zake siku hizi maana hataki ushirika mwema na sisi wana Gunners!.. Yaani kitu kidogo tu hata kubadili maandishi tu kagoma, sasa ni mtu wa namna gani huyu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo anataka wanaume,nikimwambia aweke namba za simu wanaume wamtafute hataki.....Na wewe tushakuchoka hata ikishuka daraja wewe unaichangia bei gani? Wote tunajua timu inaihitaji kusajili hata kocha mpya analijua hilo, hata Unai naye alisajiri hao akina torreira na tierney, Pepe kashindwa kuwatumia ndo maana tumefika hapa tulipo kwa hiyo unapoambiwa kuwa muelewa punguza gubu, maana hata ukipiga kelele hama hamna kitakachobadilika zaidi ya kuwakera wengine tu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Huyo anataka wanaume,nikimwambia aweke namba za simu wanaume wamtafute hataki.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona Arteta yupo serious!.. Tutarajie ingizo jipya hii JanuariArsenal ipo kwenye mazungumzo ya kina kumsajili beki wa kati mwenye umri wa Miaka 22
Gabriel dos Santos Magalhaes anayetumia mguu wa kushoto (LCB)
Kutoka Lille ambaye kabakiza miez 18 kwenye mkataba wake
ARTETA amesema anahitaji LEFT CENTER BACK , PIA CENTRAL MD , NA LEFT BACK
Huyo bwana ni conservatism balaa! na anafikiri anajua kuliko watu wote hapa!..Huyu tumchunie tu mkuu. Hakuna haja ya kujibu michango yake kama tu mwandiko hataki kubadili.
Vip Saliba haji January hii?Arsenal ipo kwenye mazungumzo ya kina kumsajili beki wa kati mwenye umri wa Miaka 22
Gabriel dos Santos Magalhaes anayetumia mguu wa kushoto (LCB)
Kutoka Lille ambaye kabakiza miez 18 kwenye mkataba wake
ARTETA amesema anahitaji LEFT CENTER BACK , PIA CENTRAL MD , NA LEFT BACK
Saliba haji ,hadi summerVip Saliba haji January hii?
Huyu jamaa anataka aamke akute timu inaongoza ligiHuyo bwana ni conservatism balaa! na anafikiri anajua kuliko watu wote hapa!..
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kumbeSaliba haji ,hadi summer
OK SAWA WATU WAPUMBAVU KAMA WEWE JIBU NI HILI TU OK SAWANa wewe tushakuchoka hata ikishuka daraja wewe unaichangia bei gani? Wote tunajua timu inaihitaji kusajili hata kocha mpya analijua hilo, hata Unai naye alisajiri hao akina torreira na tierney, Pepe kashindwa kuwatumia ndo maana tumefika hapa tulipo kwa hiyo unapoambiwa kuwa muelewa punguza gubu, maana hata ukipiga kelele hama hamna kitakachobadilika zaidi ya kuwakera wengine tu
HAHAHA NASHUKURU CONTENTS ZANGU UNAZIELEWA ILA UNASHINDWA KUJA NA FACTS UNAISHIA KUNITUSI HAHAHAHA UKWELI NI KUWA SISI HATUNA CHA KUJIVUNIA ILA SABABU TUNAPENDA MPIRA TUTAENDELEA KUANGALIA MECHI ZA ARSENAL SABABU NI TIMU YETU PENDWAHuyo anataka wanaume,nikimwambia aweke namba za simu wanaume wamtafute hataki.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa